Onyo la Marekani kwa Waafrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea

Onyo la Marekani kwa Waafrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Marekani kashikwa pabaya.


Onyo la Marekani kwa Afrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea​

Ramafosa

Getty ImagesCopyright: Getty Images
Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na UrusiImage caption: Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na Urusi
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Linda Thomas-Greenfield alifanya ziara katika nchi za Afrika, na miongoni mwa mambo mengine, amewaonya Waafrika wasinunue chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea, akiwatishia vikwazo iwapo watafanya hivyo.
“Urusi ina mtazamo kwamba vikwazo dhid ya bidhaa za chakula na na kilimo vimepelekea ongezeko la bei ambalo nchi zinakabiliana nalo. Ninataka kusema kwamba hatuna vikwazo kwa vidhaa zozote za kilimo kutoka Urusi. Urusi inaweza kuuza nje bidhaa za kilimo, nan chi nyingine zinaweza kuzinunua, ikiwa ni pamoja na mbolea na ngano ," alisema katika mkutano na waandishi wa habari mjini Kampala, Uganda
“Kuhusu vikwazo dhidi ya Urusi,” Linda Thomas-Greenfield aliendelea kusema kuwa, “kwa mfano,kuhusu mafuta, iwapo nchi itaamua kushirikiana na Urusi, katika maeneo ambayo yamewekewa vikwazo, basi zinatakuwa zimekiuka vikwazo, na katika baadhi ya matukio pia itakuwa imekiuka vikwazo vya Umoja wa Mataifa. Na tunaonya nchi zisikiuke vikwazo ."
Nchi nyingi za Afrika zinapendelea kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine na Urusi. Sababu mara nyingine huelezewa kuwa ni kutokana uhusiano uliopo baina ya Afrika na chi za Magharibi ambazo nyingi ni wakoloni wa zamani wa mataifa ya Afrika, na wakati huo huo wasomiwengi wa Afrika waliosomea Urusi ambao wasingependa kujiuhusisha na vita dhidi.Wakati huo, baadhi ya nchi za Afrika ni wanunuzi wakuu wa bidhaa kutoka Ukraine ambazo kwa sasa zinakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula.
 
Africa sio sehemu hatarishi kwanza nguvu tu ya manunuzi hatuna
 
Marekani ni machoko, watutolee ushoga wao
 
Back
Top Bottom