ONYO: Mnaoweka Namba za SiMu kuomba Kubadilishana Vituo (Ualimu)

ONYO: Mnaoweka Namba za SiMu kuomba Kubadilishana Vituo (Ualimu)

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,204
Reaction score
5,710
Ovyo: Wale mnaweka namba za simu na email humu, kuna watu wanapiga simu wanadai wao ni tamisemi au mfanyakazi wa tamisemi dodoma kisha anasema yupo hapo kukusaidia.

Kuwa makini waepuke hawa utaliwa. Ni matapeli

mimi wamenipigia simu yani alipojitambulisha tu kama dk joseph wa tamisemi, eti wanakusanya majina ya watu wanaotaka kuhama na kushughulikia nikajua tayari huyu tapeli.

Kuweni. Makini wana jf, hakuna uamisho ambao tamisemi wanatafuta watu

hakuna mtu atakaekutafuta kutoka kusikojulikana akusaidie, ukikosa mtu wa kubadilishana mute tu mpk siku itokee

nitaweka namba ya huyo tapeli si punde

Note: nimeona nianziashe Uzi ili wengi muone kuliko kuweka katikati ya Page za ule uzi husika wenda Wengi msione hii

Kama umekutana na Visa vya hawa watu Toa ushuhuda hapa na tupia Namba zao
 
Me nlipta wa kudlishana nae ila nae amekuwa cheka hta phone hapokei tena
 
aliwahi kunipgia jamaa mmoja ,alijitambulisha kama DR, MATIKU kutoka tamisemi! akasema anataka kunisaidia nihame kituo cha kazi but kwanza nimpe laki 5.

Nikamulza kama ananfaham jina langu, akasema mi ni mwl fadhil kutoka kibaha, hapo ndipo alipochemka!
 
aisee, wahuni sana. wanakuandikia sms kuwa barua yako iko tayari, ukiwapigia simu wanajifanya wamekosea namba wanasema sms ni ya mwl fukani wa sehem fulani, nimeshughulikia uhamisho wake na barua tayar ipo posta.

kwa kuwa na wewe upo unahangaika kutafta lzm utajiingiza king.

mie nimeenda hadi dodoma lkn kila ukimwambia njoo tuonane vikwazo vingi na hela kiasi walikula
 
Wahuni hawajui wengine wanawatafutia ndugu zao kwaiyo wakipiga wanaotea habari mwalimu ili waone response.

Msi deal na mtu kwenye Simu hata kidogo, naiman kuna watu wameshalizwa
 
aisee, wahuni sana. wanakuandikia sms kuwa barua yako iko tayari, ukiwapigia simu wanajifanya wamekosea namba wanasema sms ni ya mwl fukani wa sehem fulani, nimeshughulikia uhamisho wake na barua tayar ipo posta.

kwa kuwa na wewe upo unahangaika kutafta lzm utajiingiza king.

mie nimeenda hadi dodoma lkn kila ukimwambia njoo tuonane vikwazo vingi na hela kiasi walikula

Pole sana Usirudie KOSA, hakuna mfanyakazi wa TAMISEMI atakupigia simu ja kukuandalia barua bila wewe kuomba kwa Procedures
 
Hayo ni mambo yamewakumba wengi na ukiwapigia wanajifanya wako bize, hapa jirani ninapoishi kuna Mwalimu katoka masomoni akawa anataka kuhama, kuna mtu akaja akamdanganya na akauza mpaka laptop kwa laki 5 akamtumia huyo jamaa amsaidie, yaani mpaka sasa huyo Mwalimu hajafanikiwa na kila akimpigia jamaa simu hapokei na anamtumia meseji ya neno noted
 
Kuna jamaa ni tapeli aliekubuhu, anajifanya yupo Tamisemi/Utumishi anskupigia cm anakwambia uhamisho wako upo tayari ila imebaki kitu kidogo sana mambo yakae sawa!

Anatumia #0715 590 538, muepuke huyu, akikupigia cm nenda police haraka!
 
Kuna hii Pia 0686 344 752
 
Ni vizuri hizi number zikawekwa wazi kwa hao walimu hasa kwenye ile thread yao ya kubadilishana vituo, watu wanatapeliwa sana

Unajua nimeona ukiweka kule itakaa kwenye ukurasa mmoja wengine wata miss information bora hivi uzi wa wazi ni rahisi kuuona na kuchukua tahadhari
 
Juzi limenipigia jitu moja hivi eti npo safarini ntakupigiaa...eti mi nmehama toka Lushoto.kwenda Moro nipo Idara ya ukaguzi.wa elimu pumbaafuu!!! Yni mtu humjui lkn anakutafta n.jina anakwambia...ukimuuliza namba umetoa wap eti skumbuki vizuri....nliona wap nliona unahangaika kutafuta wa kubadilishana naee hahaha basi nami.nkajifanya mjinga nkachat naloo we mwisho wa siku nkagundua ni li tapeliii na namba yake nlisevu jina Tamisemi hahahaha!!!!! Mi mtu hawezi kuniibiaa kiboyaboya aiseee......kuweni makini!!!namba yenyewe ni hii hapa > Tamisemi <0786832656>, nlisev jina tamisemi aisee kuweni makini mtaibiwa!!!
 
Back
Top Bottom