Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Nina ngumi proof, helmet na mbio pia zipo ninazo tele.Hahahaaa..! Ngoja wakusikie!
Nina ngumi proof, helmet na mbio pia zipo ninazo tele.
Mbali ya hapo nina kipaji cha kukwepa, nilishawahi kukwepa matone ya mvua kipindi kile cha el nino
Usijali My Lady doctor love Pimbihahahaaaa.... Kumbe...!!! Ndio maana unajitutumua hivyo.....! Ngoja na mimi nilianzishe maana naamini utanibeba mgongoni tukimbie wote lol!!!!!
tumesha msikia ngoja ntafute nchale.......!!1Hahahaaa..! Ngoja wakusikie!
Usijali My Lady doctor love Pimbi
tumesha msikia ngoja ntafute nchale.......!!1
Nina ngumi proof, helmet na mbio pia zipo ninazo tele.
Mbali ya hapo nina kipaji cha kukwepa, nilishawahi kukwepa matone ya mvua kipindi kile cha el nino
Undertaker kuna kijana amechoka kuishi hukuKuwa makini ukinunua soda au bia.
Hakikisha wakati wa kufungua umeangalia vyema mazingira na watu uliokaa nao.
Wakati wa kufungua hakikisha Mmakonde kama yuko jirani yako asiione gesi ikitoka, kwani utachezea kichapo cha mbwa mwizi.
Wamakonde wana uchungu sana na gesi, wanajua kuwa kila gesi ni yao.
Stay peace and blessed
Slave nchome nguuni hajawajua vizuri watu wa ntwarahahahaaa...! Mchome kabichaa!
hahahaaa...! Mchome kabichaa!
aangalie asije akanchana tu, kwakua inategemea ntu na ntu
Slave nchome nguuni hajawajua vizuri watu wa ntwara
tena akicha mchoma anamfanya kitoweo.... Chezea ntu ya kule wewe.
Undertaker mwenyewe hajawahi kufika MtwaraUndertaker kuna kijana amechoka kuishi huku