Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Si nasikia kaomba uraia acheze taifa stars?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashapewa mkono wa kwa heriHaendi kokote ni mchezaji wenu
Wakimpa watakua ni wehu.Si nasikia kaomba uraia acheze taifa stars?
singida big stars watajijuNALIA NGWENA niliona aibu Mimi kitendo cha Bernard Morrison kumpora pesa waziri wa sanaa na michezo Mhe. Chana.
Kwa haraka haraka ni kama kitendo cha kuchekesha lakini kwa NALIA NGWENA the great thinker mkombozi wa Fikra mpya kwa kweli siyo Jambo la busara (kiungwana).
Lakini tukio lingine kwenye mchezo wa Mbeya city vs Yanga Toto tundu Bernard Morrison alipokua akishangilia baada ya kutupiwa makopo na takataka the Super Ben alirudisha kwa mashabiki.
Sijui hili limekaaje kikanuni nafikiri Bodi ya ligi na TFF Kama atakua amefanya kosa basi atawajibishwa bila Shaka.
Tukio lingine lililo nichosha zaidi nakuona kabisa Bernad Morrison ni mtovu wa nidhamu ni pale Ikulu, Eng. Hersi kumtambulisha mbele ya Mhe. Rais lakini hakusimama kwa kweli aibu niliona Mimi na ninaimani kabisa Hersi alijisikia vibaya lakini alijikaza tu.
Lakini alipotambulishwa Mzinze alisimama Ila ilipofikia zamu yake aligoma kabisa kusimama.
Timu yoyote ya Tanzania itakayomsajili Bernard Morrison itambue Kabisa itakua imekumbatia mzinga wa Nyuki.
Nawasilisha hoja
View attachment 2648937
Alifanyaje ikulu?Hiyo ya Ikulu alizingua kweli, jamaa Huwa nahisi kama dishi limeyumba nahisi role model wake ni Baloteli,
Wakati Rais wao Eng Hersi akitambulisha wachezaji kwa Mh Rais alitajwa mara mbili mchezaji chipukizi klabuni Clement Mzinze lakini Morrison ndio akasimama badala ya Clement japo watu walifurahia kama kituko ila ilipofika zamu yake ya kutambulishwa akagoma kusimama tena mara mbili zote, hii haikuwa tabia njema hasa ukiangalia walikuwa wanatambulishwa kwa Rais wa nchi.Alifanyaje ikulu?
Nakubaliana na wewe, ukimshindwa mke mwache aende usimsindikize Kwa makandokando.Msizipangie timu, huyu mchezaji aliachwa na Simba kwa utovu wa nidhamu lakini yanga walifikiri wamewakomoa Simba kwa kumsajili lakini hukusikia viongozi au mashabiki wa Simba wakimnenea mabaya kwa kifupi kama mmeshindwana naye achaneni naye kwa amani
Simba ilimuacha akiwa na kiwango bora kuliko sasa. Simba hali kibudu.
Egusi soup sio poa mzee baba nyama na samaki kwenye chungu kimojaRudisha kwao akale egusi na fufu.
Tz nchi peke hata mkimbizi toka Malawi atatukuzwa
Na konokono humo humoEgusi soup sio poa mzee baba nyama na samaki kwenye chungu kimoja
Ila Hersi naye kwa nini alimuita "toto tundu"? Tukienda kipro, alikuwa na haki ya kuuchuna. Utani wa kwanza kusimama alipoitwa Mzize nao haukuwa na madhara, ulikuwa ni mkusanyiko wa kufurahi na kusherehekea, kama kuna mtu alikwazika huyo ndiyo ana shida.Wakati Rais wao Eng Hersi akitambulisha wachezaji kwa Mh Rais alitajwa mara mbili mchezaji chipukizi klabuni Clement Mzinze lakini Morrison ndio akasimama badala ya Clement japo watu walifurahia kama kituko ila ilipofika zamu yake ya kutambulishwa akagoma kusimama tena mara mbili zote, hii haikuwa tabia njema hasa ukiangalia walikuwa wanatambulishwa kwa Rais wa nchi.