🚨ONYO: Ukinunua gari used kabadilishe Jina

ni transfer tu ya jina, ukikutana na situation kama hiyo hakikisha una kitambulisho na passport size ya jina linalosoma kwenye card
Kasheshe nilokua nalo first owner ni mdada mwarabu yuko Oman na hakua wala na national id, huyo aloniuzia ndio kaweka ma id yake ambayo ni useless kwangu.
Nivyomwambia apa transfer itakuaje ye kasema tumia tu.
 
Kiongozi nimefatilia sana madani Yako juu ya elimu ya magari tweeter.
Mwakani mwezi kama huu natarajia kumiliki ka ndinga ka kupigia misele kupitia kwako kutoka Japan.
Nijipange Bei Gani Kwa gari hii
IST 2007, 1490cc
Or
Vitz RS 2012 yenye 1490cc
Mwakani bei zinaweza kuwa zimebadilika sana, ila kwa sasa price range ni 13-15 so napendekeza unatakapokaribia kuwa tayari tuwasiliana ishaalah
 
Kasheshe nilokua nalo first owner ni mdada mwarabu yuko Oman na hakua wala na national id, huyo aloniuzia ndio kaweka ma id yake ambayo ni useless kwangu.
Nivyomwambia apa transfer itakuaje ye kasema tumia tu.
Halafu ikawaje?
 
Yaani shida inaanza kama umenunua gari kwa mtu Ila naye alinunua kwa mtu Ila ...Sasa kumpata huyo third party ndo shida...
 
Kasheshe nilokua nalo first owner ni mdada mwarabu yuko Oman na hakua wala na national id, huyo aloniuzia ndio kaweka ma id yake ambayo ni useless kwangu.
Nivyomwambia apa transfer itakuaje ye kasema tumia tu.
Same situation japo mie original owner ni mbongo na ni staff wa TRA ila sijawahi onana nae
 
Back
Top Bottom