Onyo:urembo unaposababisha upofu

Onyo:urembo unaposababisha upofu

I do see nothing wrong with contact lenses. Hasa kwa sisi tunaovaa miwani 24/7 wakati mwingine mtu unachoka.

bado huo ni ujasiri dada, hata mie navaa mawani ila hizo lens mmh sithubutu. Nikiona wanavyovyaa mwili unanisisimka
 
I do see nothing wrong with contact lenses. Hasa kwa sisi tunaovaa miwani 24/7 wakati mwingine mtu unachoka.

NK kuna wanaovaa kwa urembo....za rangi rangi ili macho yao yaonekane tofauti na yalivyo!!
 
Tofauti yake nini na watu wanaoweka weave au wigs?

Sijawahi kutofautisha wala sitaki kufanya hivyo maana it's none out of my business...na kama hainidhuru mimi mtumiaji atajijua mwenywe.Hapo nilitaka tu kumjulisha NK kwamba sio wote wanavaa kuepuka kuvaa miwani ya macho.
 
Sijawahi kutofautisha wala sitaki kufanya hivyo maana it's none out of my business...na kama hainidhuru mimi mtumiaji atajijua mwenywe.Hapo nilitaka tu kumjulisha NN kwamba sio wote wanavaa kuepuka kuvaa miwani ya macho.

Got NN on your mind? Lol....

Please correct it before people start thinking Nyumba Kubwa is my alter ego! And for some reason I don't know why people have been mixing us up coz you're not the first person to do this.
 
Umesomeka
 
Just might have....lolzz

It was just a minor mistake bana..K is close to N on my keybord.
 
Just might have....lolzz

It was just a minor mistake bana..K is close to N on my keybord.

You must not have a full QWERTY keyboard!

Time for an upgrade.

IKEA doesn't sell PC accessories? Lol
 
yametokea kinondoni,mwanamke kenda kubandika nyusi,msusi kwa ubahili wake badala ya kutumia gundi yake maalum kambandikia superglue,mama kilio,kwenda ccbrt kafanyiwa operesheni ya kutoa gundi,kumbe gundi ilishaharibu macho,kawa kipofu.Angalizo: kinamama chungeni sana mnapoamua kuongeza makalio,kutia mkorogo,kuongeza nyusi,kurefusha kucha.....na mengine sisemi ni ya siri......
wape vidonge vyao hao bishanga!
 
jamani wanawake wenzangu mbona tu wazuri kwa jinsi tulivoumbwa madude yote hayo ya nini!

we chauro..hawa wenyewe ndo wanasababisha haya mambo
akikutana na mwanamke nyusi hiyo kampenda kwa jinsi ya mwaonakane wake huku we muhusika wake nakuona mbaya
ndo mana wadada wanajitahidi kila siku kujibadilisha ili waonekane tofauti kwa wapenzi
isingekuwa ni tamaa za wanaume yote haya yasingekua yanatokea.
kitu hiki kishawaathiri mabinti wengi sana.
 
Pole zake super gluu machon lol!namshukuru mungu kwa namna alivyoniumba na kwa ushamba nilionao hata sion umuhimu wa kujiedit au kujimodify!
 
Back
Top Bottom