BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
I do see nothing wrong with contact lenses. Hasa kwa sisi tunaovaa miwani 24/7 wakati mwingine mtu unachoka.
I do see nothing wrong with contact lenses. Hasa kwa sisi tunaovaa miwani 24/7 wakati mwingine mtu unachoka.
NK kuna wanaovaa kwa urembo....za rangi rangi ili macho yao yaonekane tofauti na yalivyo!!
Tofauti yake nini na watu wanaoweka weave au wigs?
Sijawahi kutofautisha wala sitaki kufanya hivyo maana it's none out of my business...na kama hainidhuru mimi mtumiaji atajijua mwenywe.Hapo nilitaka tu kumjulisha NN kwamba sio wote wanavaa kuepuka kuvaa miwani ya macho.

Just might have....lolzzGot NN on your mind? Lol....
Please correct it before people start thinking Nyumba Kubwa is my alter ego! And for some reason I don't know why people have been mixing us up coz you're not the first person to do this.
Just might have....lolzz
It was just a minor mistake bana..K is close to N on my keybord.
You must not have a full QWERTY keyboard!
Time for an upgrade.
IKEA doesn't sell PC accessories? Lol
wape vidonge vyao hao bishanga!yametokea kinondoni,mwanamke kenda kubandika nyusi,msusi kwa ubahili wake badala ya kutumia gundi yake maalum kambandikia superglue,mama kilio,kwenda ccbrt kafanyiwa operesheni ya kutoa gundi,kumbe gundi ilishaharibu macho,kawa kipofu.Angalizo: kinamama chungeni sana mnapoamua kuongeza makalio,kutia mkorogo,kuongeza nyusi,kurefusha kucha.....na mengine sisemi ni ya siri......
jamani wanawake wenzangu mbona tu wazuri kwa jinsi tulivoumbwa madude yote hayo ya nini!
jamani wanawake wenzangu mbona tu wazuri kwa jinsi tulivoumbwa madude yote hayo ya nini!