Kununua Simu kwa Mtu kumewaweka Watu wengi kwenye matatizo kutokana na Simu husika kuwa na historia ya kuhusika katika matukio ya Uhalifu.
Hakikisha Simu unayonunua ni halali kutoka kwa Muuzaji unayeweza kuthibitisha kwa risiti kwamba alikuuzia Simu hiyo. Usishawishike na bei ndogo zinazotangazwa na Watu binafsi wanaouza Simu.
#JamiiForums #DigitalSafety
Wavuta bange mkuu wana alama usoniKama unanunua kwa wavuta bangi lazima ununue matatizo
Kama huvuti bangi huwezi kuwajua. Tuache sisi wavuta bangi tujuane, endelea kuvuta hewa.Wavuta bange mkuu wana alama usoni
Karibu sana ndo nakula vyombo hapaKununua simu kwa mtu ni utamaduni ambao utadumu miaka mingi. Suala kubwa ni kwamba unanunua kwa nani?
Kama unanunua kwa wavuta bangi lazima ununue matatizo.
Naomba tuheshimiane bhanaWavuta bange mkuu wana alama usoni
Huo moshi una vibe la hatari sana unaweza kuondoka na ujasiri ukaenda dukani kulipa madeni ya wadaiwa sugu.Karibu sana ndo nakula vyombo hapaView attachment 1926802
Hapa nasikia kama nyoka anapita pita huku mgongoniHuo moshi una vibe la hatari sana unaweza kuondoka na ujasiri ukaenda dukani kulipa madeni ya wadaiwa sugu.
ππππ Jana we si umetoka church kabisa Leo hii Wala vyombo hadharani hiviπ’π’π’π’ππKaribu sana ndo nakula vyombo hapaView attachment 1926802
Unaweza ingia kwenye lile geti kule chini ukadhani getoni utakuja pata ufahamu upo ICU muhimbili au Kisarawe kabisaπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺHapa nasikia kama nyoka anapita pita huku mgongoni
Unasemea kule kwenye robot linalopigia watu gizani?Unaweza ingia kwenye lile geti kule chini ukadhani getoni utakuja pata ufahamu upo ICU muhimbili au Kisarawe kabisa[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Vya kanisani unacha huko huko jana na leo ni siku 2 toafauti kabisa[emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Jana we si umetoka church kabisa Leo hii Wala vyombo hadharani hivi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji119][emoji119]View attachment 1926810
Hiyo nembo kwa ovatar umeipata wapi[emoji87]Unaweza ingia kwenye lile geti kule chini ukadhani getoni utakuja pata ufahamu upo ICU muhimbili au Kisarawe kabisa[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]