BABA: Kati ya mimi na mama yako
unampenda nani zaidi?
DOGO: Nawapenda wote
BABA: Mimi ningeenda Dubai
halafu mamako akaenda London, we ungeenda
wapi?
DOGO: Ningeenda London
BABA: Kwanini?
DOGO: London napenda London Zaidi ya Dubai.
BABA: Je, mi ningeenda London
mama yako Dubai we ungeenda wapi?
DOGO: Ningeenda Dubai
BABA: Hee, unanikwepa tu unamfwata mama
yako!!!!
DOGO: Hapana daddy, London si
ningekuwa nilishakwenda....
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums