kwani kuna aina ngapi za fegi?sigara gani unamaanisha?
kwani kuna aina ngapi za fegi?
hahahahah, duh mkuu kweli hapo umeainisha haswa, maana zote zinaingia kwenye makundi hayo uliyotajaFegi kubwa na ndogo; orijino na ya kienyeji!
Na Pombe nayo ni hatari Hivi hili linaeleweka kweli?Hivi hili linaelewaka kweli?