Onyo: Uvutaji sigara ni hatari kwa afya yako

Onyo: Uvutaji sigara ni hatari kwa afya yako

Halieleweki labda serikali ziamue kupiga marufuku matumizi yake ambayo yatasababisha kukosa ajira watu wengi kuanzia mashambani hadi viwandani pia wategemee maandamano ya wavuta sigara wakiongozwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu,mashirika ambayo hayawatetei wanaoathirika bali kinyume chake.
NB.SIGARA NDIO BIDHAA PEKEE YENYE KUTOA TAHADHARI JUU YA MADHARA UYAPATAYO IWAPO UNATUMIA,HAKUNA BIDHAA NYINGINE YENYE TAHADHARI KAMA HIYO(naweza kusahihishwa)
 
Back
Top Bottom