Onyo: Wanaume mlio kwenye ndoa msichepuke, mtasahau na kuacha kuwapenda wake zenu

Onyo: Wanaume mlio kwenye ndoa msichepuke, mtasahau na kuacha kuwapenda wake zenu

Hizi kituzi aheshimu ni lini ulipata?
Ata kama ni jana usiku

Kama jana usiku umeipata vzr asbh huwezi kupata hamu kali hivyo kwa maandishi tu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwanaume akichepuka basi ujue amechepuka kwaajili ya haja za hapa na pale, na huwa wanaheshimu na kuthamini wake zao.

Mwanamke akichepuka ujue amependa, dharau kwa mume huanza mwishoni ndoa kuvunjika.
 
Porn in words!
Kulikua na haja ya kuelezea kwa kina mlicbofanyana huko?
Ona sasa umeniharibia sabato!
Log off jf, alafu anza kusoma Biblia...[emoji13] [emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] best ushauri everrrr!
Maana naona tayari mleta mada amekufanya upate genye mubashara ukiwa karibu na madhabahu....[emoji13] [emoji13]
 
Waume Za watu mwapenda kuchepushwa nwdays sijui kwa nini(siyo wote ila kasi imezidi)
Afuu ndyo visingizio vyenu hivyo Siyo Malaya... Kuwarubuni vidada vya watu vilivyotulia...maskini kadada ka wary.. Wish huo utamu angempa mumewe
 
Hovyoo!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom