Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umeamua kuja kutoonyesha tena tena hz CV ambazo hautaki zionekane.
Kwani vigezo na masharti ya kutuma CV huko Zoom vinasemaje kama watazitoa public au? Sio kulalamitka tu, Af kazi utapataje bila mtu kuiona hy CV?
Sasa cv zikionekana si ndo vizuri, maana hata kama mwajiri anatafuta mtu anapitia cv hapo zoom tu,,
Yaan unatafuta kazi huku unachukia cv yako kuonekana na kusomwa, kwanza ni faraja kwa cv yako kusomwa na wat as ni next step katika safari ya kupata ajira