Mr Putin
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 515
- 520
Jeshi la Congo limekimbia kuelekea Goma baanda ya kusikia M23 inakalibia ku kamata mji wa Sake km chache kuelekea Goma,walipo fika Goma Miltary Police(MP) waka wakimbiza na viboko warudi kupigana!🤣🤣
Na inasemekana Sake ikikamatwa basi watu wa Goma kupata chakula ni kutumia ndege maana barabara zitakua zimefungwa hakuna kuingia Goma wala kutoka. Ndege au kwenda Gisenyi Rwanda.
Na inasemekana Sake ikikamatwa basi watu wa Goma kupata chakula ni kutumia ndege maana barabara zitakua zimefungwa hakuna kuingia Goma wala kutoka. Ndege au kwenda Gisenyi Rwanda.