OOH!! CONGO!!

OOH!! CONGO!!

Masasi yatatumaliza sisi bamutu ba mayele na ba inonga 🙃 ila kama kweli ingekua ni tactical retreat wasingechapwa na ma mp mana si ni mbinu ya kivita sasa ilikuwaje kwenye mbinu waanza kuangushiana mafimbo yale,...ooooh batokola benyewe ku'nyavu
 
Congo wakubali tu hilo eneo hawaliwezi

wawaachie nchi iitwe Kivu

Kama wapo serious waweke kambi hayo maeneo kwa msisitizo, haya mambo ya kuja na kuondoka hakuna kitu kitabadilika nadi ya marudio tu,
Itakuwa ni kosa kubwa sana kukubali nchi igawanywe.
 
Jeshi la Congo limekimbia kuelekea Goma baanda ya kusikia M23 inakalibia ku kamata mji wa Sake km chache kuelekea Goma,walipo fika Goma Miltary Police(MP) waka wakimbiza na viboko warudi kupigana!🤣🤣
Na inasemekana Sake ikikamatwa basi watu wa Goma kupata chakula ni kutumia ndege maana barabara zitakua zimefungwa hakuna kuingia Goma wala kutoka. Ndege au kwenda Gisenyi Rwanda.
Video haina uhalisia na mada
 
M23 ni Hatari, zaidi kuliko makundi mengine.
M23 wana
-Ant aircraft missile(manpad)
-Drone
-GPS missile
-Sniper rifles
-bullet proof helment
-Night vision goggles
-mortar bombs
-ant tanks missile
-inasemekana Kuna kipindi walikuwa na hata mizinga.
-na equipment zingine
Ambazo makundi mengine hawana.

Hao sio M23 ni watu wa kijitu refu chenye roho mbaya na unyafuzi.
 
Back
Top Bottom