njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Itakuwa ni kosa kubwa sana kukubali nchi igawanywe.Congo wakubali tu hilo eneo hawaliwezi
wawaachie nchi iitwe Kivu
Kama wapo serious waweke kambi hayo maeneo kwa msisitizo, haya mambo ya kuja na kuondoka hakuna kitu kitabadilika nadi ya marudio tu,
Video haina uhalisia na madaJeshi la Congo limekimbia kuelekea Goma baanda ya kusikia M23 inakalibia ku kamata mji wa Sake km chache kuelekea Goma,walipo fika Goma Miltary Police(MP) waka wakimbiza na viboko warudi kupigana!π€£π€£
Na inasemekana Sake ikikamatwa basi watu wa Goma kupata chakula ni kutumia ndege maana barabara zitakua zimefungwa hakuna kuingia Goma wala kutoka. Ndege au kwenda Gisenyi Rwanda.
M23 ni Hatari, zaidi kuliko makundi mengine.
M23 wana
-Ant aircraft missile(manpad)
-Drone
-GPS missile
-Sniper rifles
-bullet proof helment
-Night vision goggles
-mortar bombs
-ant tanks missile
-inasemekana Kuna kipindi walikuwa na hata mizinga.
-na equipment zingine
Ambazo makundi mengine hawana.