Ooh Landrover, I love you so much

Nazilubari sana aisee.

Gari za kibishi unakuwa unajiamini unapita kokote pale
 
Iyo gari ilinitesa sana wakati wa test ya kupata leseni ya udereva, nipo na RTO mmoja sura inatisha na nikiweka gia kama navunja mhogo vile[emoji28] ilikuwa hatari sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , vipi hakukwambia ukarudie darasa kweli?
 
Kuendesha manual sio kutokuwa ktk wakati...watu wavivu hata kukaa huwa wanaona taabu/uvivu...iko hivyo kwa wasiojua au kupenda stick transmission pia...a man like me kuendesha auto car ni kashfa nzito
Kubali mabadiliko mkuu. Nenda na muda. Ya nini kuhangaika kubadilibadili gia wakati maisha yamerahisishwa na hayategemewi kurudi nyuma?
 
Hizo kuna hi na lo kwenye hiyo rungu nyekundu huyo njano ni link lock gear ya 4WD ukiwa ktk low range au high range wakati unapotaka kutumia 4wd kuna namna ukiingiza hiyo red njano ina jifyatua,zinahusiana hizo...kwa magari ya auto function hiyo ipo kwenye overdrive switch etc
Hizo ndude nyekundu na njano ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…