Ooh Landrover, I love you so much

Njano low,nyekundu high nimeitumia sana kwenye 109
 
[emoji2][emoji2] nilipita kwa mbinde sana, test zile ni unafika katikati ya mlima anakwambia simama then ondoka gari isirudi nyuma na gari yenyewe iyo[emoji2]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,hongera lkn kama ulipata mi nawaza siku nikienda hiyo road test itakuaje maana nishasahau kabisa gear 1 ya kuondokea ndicho nakumbuka ,hivo vingine ni majanga, driving school rudisheni fees yanguuu[emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…