Hii story na wasiwasi sana itakuwa imetengenezwa..... bila shaka walitaka ujumbe "Marriage is about love, not faces" utufikie.... Kwani sijapata kusikia imani ya dini yoyote au mila na desturi ya kabila fulani linalo wakataza mume na mke kuonana hususani wakati wa faragha......