Ooh maskini huyu babu!

Ooh maskini huyu babu!

ndo tulipofikia kuna wakati huwa nahisi masikio na macho yangu yameingia ukungu labda mie mshamba khaa.

Hahahaha.......... kuna mwingine kule anataka magelofrendzi tuuuu basi!
 
Duniani kuna mambo, mkasa huo;



...yaani miaka thelathini unakula penzi nyuma ya pazia? aaah, mila na desturi nyingine bana bora nimezaliwa 'mmatumbi!'
aka mi cyawezi haya
 
Hii story na wasiwasi sana itakuwa imetengenezwa..... bila shaka walitaka ujumbe "Marriage is about love, not faces" utufikie.... Kwani sijapata kusikia imani ya dini yoyote au mila na desturi ya kabila fulani linalo wakataza mume na mke kuonana hususani wakati wa faragha......
 
Mambo mengine hata Comment inaweza kua ya uongo tu.... This is un-immaginable!!!
 
hii ukicheza unauziwa mbuzi kwenye gunia, unafanyiwa 'role playing',lol
 
Back
Top Bottom