lol...:lol: ngoja wakusikie, wapo mbioni wanakuja!mmu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.
Humu mmu unaweza kuingia na simanzi ukapata faraja,lakini pia unaweza kuingia kwa raha zako ukaishia kuwa 'rattled'.
suffice to say mmu imewasaidia watu wengi kuwapa mwongozo katika maisha yao binafsi baada ya kuyamwaga jamvini.More importantly kuna ambao wamepata marafiki na hata wachumba humu ndani.
Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).
sema pole pole bana!lol...:lol: ngoja wakusikie, wapo mbioni wanakuja!
Kumbe na wewe bishanga ni mzee wa kuchakachua sredi? Nakuongeza kwenye ile list yangu ya Asprin na Klorokwini!sema pole pole bana!
Huyo Husninyo nammezea mate we sana,ila anaonekana mjanja mjanjammu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.
Humu mmu unaweza kuingia na simanzi ukapata faraja,lakini pia unaweza kuingia kwa raha zako ukaishia kuwa 'rattled'.
suffice to say mmu imewasaidia watu wengi kuwapa mwongozo katika maisha yao binafsi baada ya kuyamwaga jamvini.More importantly kuna ambao wamepata marafiki na hata wachumba humu ndani.
Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).
mmu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.

Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).[/QUOTE]
Mweeehhh shemeji ngoja waje wenyewe................
thethethet!! zigzag.com!!!Mmu ni zig zag .com mambo yote yanawekwa wazi kama mtu unashaka na jambo unajimuvuvisha basi bila hiyana watoto wa kike na kiume wanajimwaya na kutoa maushauri basi raha tu wanaopata ahueni ya mambo zao haya..... waliovunjika moiyo tupo na tuwasonga mbele (tunapunguza mawazo yetu) , walio kwenye mahusiano wao ndo shangwe zinazidi basi mshike mkono umpendaye ... njoo kati ucheze nae eeh ... ndo mpango mzima
mmu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.
Humu mmu unaweza kuingia na simanzi ukapata faraja,lakini pia unaweza kuingia kwa raha zako ukaishia kuwa 'rattled'.
suffice to say mmu imewasaidia watu wengi kuwapa mwongozo katika maisha yao binafsi baada ya kuyamwaga jamvini.More importantly kuna ambao wamepata marafiki na hata wachumba humu ndani.
Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).
mmu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.
Humu mmu unaweza kuingia na simanzi ukapata faraja,lakini pia unaweza kuingia kwa raha zako ukaishia kuwa 'rattled'.
suffice to say mmu imewasaidia watu wengi kuwapa mwongozo katika maisha yao binafsi baada ya kuyamwaga jamvini.More importantly kuna ambao wamepata marafiki na hata wachumba humu ndani.
Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).
lol...:lol: ngoja wakusikie, wapo mbioni wanakuja!
sema pole pole bana!
Sina hakika kama wamepitia huu uzi na wakaona hii kitu
Ila sijamwambia TF maana niko nae hapa
mmu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.
Humu mmu unaweza kuingia na simanzi ukapata faraja,lakini pia unaweza kuingia kwa raha zako ukaishia kuwa 'rattled'.
suffice to say mmu imewasaidia watu wengi kuwapa mwongozo katika maisha yao binafsi baada ya kuyamwaga jamvini.More importantly kuna ambao wamepata marafiki na hata wachumba humu ndani.
Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).[/QUOTE]
Mweeehhh shemeji ngoja waje wenyewe................
Haya Bishanga kuja hapa fasta kabla sijahamisha kikojoleo chako na kukiweka kwenye paji lako la usoMe love this......lol.... Big up B'...
Takribani miaka mitatu sasa nimekuwa msomaji mzuri sana wa hili jukwaa (MMU) na baada ya kupitia "threads" takribani 500 nimeona kuna kitu kimoja kinachofanana sana katika hizi "threads"... Nyingi ni za "Ulalamishi/Ushauri wa mahusiahano"!
Ningependa kufahamu,
Je, Inawezekana wachangiaji wengi au wapenzi wengi wa MMU ni wale waliokwisha kutendwa (broken-hearted) Au wengi wako katika safari ya ku-recover kutoka katika kutendwa Au wengine bado wapo katika kutendwa???
Nawakilisha:
mmu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.
Humu mmu unaweza kuingia na simanzi ukapata faraja,lakini pia unaweza kuingia kwa raha zako ukaishia kuwa 'rattled'.
suffice to say mmu imewasaidia watu wengi kuwapa mwongozo katika maisha yao binafsi baada ya kuyamwaga jamvini.More importantly kuna ambao wamepata marafiki na hata wachumba humu ndani.
Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).
lol...:lol: ngoja wakusikie, wapo mbioni wanakuja!
sema pole pole bana!
Kwa heshima ya Obuntu ambaye sredi zake huwa ni marufuku kuchakachuliwa, kuna mtu anaweza akaniambia leo ni Jumangapi na sheria za JF zinasemaje kwa watu wanaochakachua sredi siku ambayo si Ijumaa?Kumbe na wewe bishanga ni mzee wa kuchakachua sredi? Nakuongeza kwenye ile list yangu ya Asprin na Klorokwini!
Hivi AMINA yule mhudumu wa pale Migombani BarKwa heshima ya Obuntu ambaye sredi zake huwa ni marufuku kuchakachuliwa, kuna mtu anaweza akaniambia leo ni Jumangapi na sheria za JF zinasemaje kwa watu wanaochakachua sredi siku ambayo si Ijumaa?
Pokeeni salamu toka kwa Jamhuri Kiwelu ambaye nimetoka kumuuzia zile raba mtoni nilizowaambieni zimenibana.
Baada ya kusema hayo, naomba mumwambie Obuntu kuwa ametuzalilisha sana wanachama hai na wa kudumu wa MMU.
Tumesubutu
Tumefanya
Tumeweza
Na tunaendelea na kuendelea kusubutu na kufanya.
Wote semeni AMINA.