mmu kama vilivyo vyombo vya habari inaburudisha,kufahamisha na kuelemisha.
Humu mmu unaweza kuingia na simanzi ukapata faraja,lakini pia unaweza kuingia kwa raha zako ukaishia kuwa 'rattled'.
suffice to say mmu imewasaidia watu wengi kuwapa mwongozo katika maisha yao binafsi baada ya kuyamwaga jamvini.More importantly kuna ambao wamepata marafiki na hata wachumba humu ndani.
Mwenzetu vipi kupitia mmu hujafahamiana physically na memba yeyote? Mi tayari nafahamiana na Husninyo(mtoto mzuri ni hatari) na Aspirin(ana sura mbaya utadhani kagongwa na treni) na TF (kumbe ni kibabu).