<ooo> MMU: Kundi la Waliovunjika Mioyo Au Washauri?

Kumbe na wewe bishanga ni mzee wa kuchakachua sredi? Nakuongeza kwenye ile list yangu ya Asprin na Klorokwini!

hahahahahaaaa nimekoma bana,lakini si nimesema ukweli?
 
 
Yani MMU ni sehemu yangu ya maisha,nimeijua jf kupitia MMU,niliisoma MMu kwa mara ya kwanza mwaka jana desemba nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo na machozi yaliyokuwa yamedumu kwa siku tatu lkn yalikauka kwa masaa kadhaa niliyosoma humu,na mwaka huu nikaamua rasmi kuwa member na mie ni mmojawapo ya waliopitia maumivu ya kutendwa na safari ya kurecover ikaanza na sasa niko poa kbs na maisha nayaona burdan,hata km atabisha mtu, members wa humu wote ni madokta wa matatizo ya mahusiano haijalishi wako kwenye kutendwa,wanarecover au wako happy na mahusiano,MMU oyeeeeeee!
 
swadakta binti mujjarab!
 

Eimen!
 
nani alikutenda nimchape!
 
Wenzako hapa ndio mahali pa kuchati na kuondoa stress za kazi na maisha.Niliifahamu JF mwaka jana wakati wa kampeni na nikawa naingia kwenye siasa kuchungulia maoni ya wadau.Lakini tangu niligundue jukwaa hili niliamua kujiunga na hata siangaiki na majukwaa mengine.NI party ya familia,haipiti siku mbilli bila kuchungulia hapa.
 
TF na Bishanga mnaanza kuchakachua thread ya Obuntu. Halafu watu wanaoanzisha thread na kuondoka huwa sielewi kabisa
 
Hiyo wote unamaanisha hata mimi?......You are very wrong my dear! Wengine tangu tuingie kwenye marilesheni yetu ni FULL maraha! Siku zote usifanye jenerolaizeshen kwenye matatizo yaliyokutokea wewe kwamba yanawatokea na wengine.

Karekebishe kauli kabla sijayageuzia masaburi yako kwenye magoti.

Mwisho wa kunukuu.
 
Haaaaa haaaaa!Sipati picha ya mwonekano wake lol,Babu hujanielewa maana yangu ni kwamba udaktari huo ni wa kusaidia wengine kwa ushauri na mawazo mabalimbali kupitia experience zao kwenye mahusiano kulingana na matatizo ya kimahusiano ambayo mtu anayowasilisha humu,hata wewe unavyosema uko full maraha ni shule pia kwa wenye matatizo na kupitia na kwan unaweza ukawapa siri za mafanikio nao wakafurahia maisha km ww.
Ndio maana ni katumia jina la udaktari babu na kusema haijalishi tumo ktk hali ipi iwe ya maumivu,kuricover au kwenye full maraha km ww!
Tafadhali usihamishe masaburi yako na kuyaleta magotini nitakosa mchumba babu!
 
Yaani mijanaume yoooote hii mikware huku JF ukose mchumba?............ Kaogee magadi aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…