<ooo> MMU: Kundi la Waliovunjika Mioyo Au Washauri?

Yaani mijanaume yoooote hii mikware huku JF ukose mchumba?............ Kaogee magadi aisee!
Haaa haaa haaa,babu tatizo ni masaburi kuhamia magotin nitakuwa kituko! samahan Obuntu naona tushachakachua hapa si unaju huyu mzee keshachukua ubingwa wa kuchakachua na akikamta mjukuu hata kwenye sred ya mtu kuchakachua hakukwepeki,tusamehe bure!
 

I wish na mimi ningefahamiana na jf membaz wenzangu! God Hear my prayer!
 
klwani wewe unaonaje?
 
mapenzi ndo yanarun dunia na ndo maana watu wapo MMU sana, na washauri sababu wapo yaliyowakuta pia wapo wanaotaka kujifunza kupitia watu.
 
Mi ninavyofikiri mapenzi yana nafasi kubwa sana ktk maisha ya mwanadamu. Nakwa sababu ya umuhimu wake, uwezekano wa kutendwa au kutenda ni mkubwa sana. Hivyo, basi MMU inatoa nafasi ya wazi ya kila mtu kaleta lililomsibu ili aweze kupata faraja ya moyo wake kupitia kwa mawazo mbali mbali ya wachangiaji.

Kwa upande wangu naamini kuwa hata wewe pia ni either ulikwisha tendwa (broken-hearted) Au uko ktk safari ya ku-recover. Hivyo basi ushauri wako ni muhimu ktk jambo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…