Oooh Gosh. kwa nini mnakuwa hivi jamani.....?

I like it,very true hata bible haijasema lazima tuolewe,but tukishindwa kuwa kama kristo basi kila mtu awe na mume/mke wake mwenyewe
mapenzi siku hizi hakuna best, mapenzi waliyafaidi wazazi wetu but wanaume wa siku hizi!!! Ukipata anaekupenda na kukujali kwa dhati shukuru mungu. Kwa wenye roho ndogo kama yangu bora kukaa kivyako tu kuliko kuumizana vichwa.
 
mzima kweli wewe hapo upstairs???????/mzee hya ya kutongozana yameingiaje humu???????
piga piga wenyewe ndio kama hawa FL1 na Pearl. Sijui hasira za nini asubuhi mijitu mingine bwana somtimes. Hila kwa kuwa im a gent asubuhi njema nakuomba uachane na mimi kama una zuri la kuniongelea have a good day.
 
Sure Mrs President, kumsaidia mtu mwenye shida kama hiyo si vibaya hasa katika masaa hayo mabaya ya usiku, but mshauri akaripoti polisi au aende kwa ndugu zake otherwise huyo jamaa anaweza kukuletea shida na huruma yako ikakuponza.

thanks Suzzie .. ushauri wako naufanyia kazi mpendwa
 

thanks Anyisile ubarikiwe na bwana ..ushauri wako mzuri na wa kiroho zaidi
 
Eeeh tumefanya nn?ivi unadhani mm naweza kupigwa tu kisa mume?nadhani sijui kupenda tena,n will neva allow some1 to play with ma heart.
piga piga wenyewe ndio kama hawa fl1 na pearl. Sijui hasira za nini asubuhi mijitu mingine bwana somtimes. Hila kwa kuwa im a gent asubuhi njema nakuomba uachane na mimi kama una zuri la kuniongelea have a good day.
 
alafu soon atajutia makosa atamfata mkewe kwa kisingizio cha SHETANI KANIPITIAkwani shetani akikupitia lazima umfuate?ona sasa wanakuongezea un necessary majukum!I hate him,sitamani hata kumwona naweza kumwita mwizi bure kko akione ha moto!

Pearl kweli haya mahusiano ni ya ajabu ..itabidi ufunge na kuomba wewe Biblia inasema mke/pia mme mwema hutoka kwa mungu kwa hizi staili ingekuwa mie loh sijui ningefanya uamzi gani hapo mungu aeoushe mbali sana
 
Eeeh tumefanya nn?ivi unadhani mm naweza kupigwa tu kisa mume?nadhani sijui kupenda tena,n will neva allow some1 to play with ma heart.
inabidi uufungue moyo na kujifunza kupenda tena ndio tuna jifunza na makosa, good love needs no conditions. learn to love again openly ma.
 

locust60 si haki hata kama mwanamke alikuwa na kosa na wale watoto wadogo walimkosea nini baba yao kama sio ukosefu wa hekima????
 
My dia i knw how to love and therefore i give love,unipige unitukane then uniambie sijui kupenda?i love and am so loveble dia,ol i knw hakuna mapenzi ya ugomvi,ups and downs ni kawaida but si kiiivyooooo
inabidi uufungue moyo na kujifunza kupenda tena ndio tuna jifunza na makosa, good love needs no conditions. Learn to love again openly ma.
 


hapo kwenye kuchunguza mie naamini hata ukimchunguza mtu miaka 10 mkiwa kwenye uchumba hutakaa ujue undani wake, ngoja muingie kila mtu atoe makucha yake...uwiiii.
 

napendaga sana kuwaambia watarajiwa kuwa wategemee "mabadiliko"....kaizer wa leo sio wa kesho, kwa namna moja au nyingine.
 
huyo haji binamu alitaka kwanza amtoke...heheheheh ita polisi wakae standby apo

kwani angekuwa mkewe angemfanyia alivomfanyia? mbona ni kosa la kwenda polisi kabisa...akamshtaki polisi jamaa awekwe ndani kwanza ndo atashika adabu.


mambo ya ndani yakishaanza kwenda polic tena hapo kazi ngumu ipo.
 
My dia i knw how to love and therefore i give love,unipige unitukane then uniambie sijui kupenda?i love and am so loveble dia,ol i knw hakuna mapenzi ya ugomvi,ups and downs ni kawaida but si kiiivyooooo
Thats the spirit namna hiyo, nakubalina mambo ya kupigana ni ya kale. hayo mengine ni kawa tu.

Hila hivi kidogo nipekua kwani we mwenzetu hivi status za relationship ziko vipi kwa sasa. 😉
 



nilitokea huko mie, nakwambia nilikuwa siulizi kitu kabisa kabisa, matokeo yake alikuja kunibadilikia kwamba mie cmjali, aje saa 6 cjui saa ngapi mie walaa....cku ya cku alikuwa wa kwanza kuomba samahani na kunieleza alifanya yote hayo coz kuna maneno mamake alimwambia na akanielezea kila kitu i was shocked...wanaumiaga sana wacpofatiliwa hawa...yupo kwenye mstari sasa hivi mana anajua mkewe kichwa maji...haaa ndoa ngumu bwana!
 
hapo kwenye kuchunguza mie naamini hata ukimchunguza mtu miaka 10 mkiwa kwenye uchumba hutakaa ujue undani wake, ngoja muingie kila mtu atoe makucha yake...uwiiii.

Na pia binadamu tunajua sana kupretend mradi tu tupate kile tunachohitaji ..mapenzi kizunguzungu
 

FL1, nia yenu ni njema kabisa na dhamiri yenu ni safi na takatifu. tatizo la wengi wenu ni lugha tu. mnashindwa kujua maneno gani mtumie na kwa ukali kiasi gai mnapowasiliana na waume zenu hasa mnapohisi mmekwazwa. hapo tu dia. mkipamudu, mtapunguza haya matatizo yaletwayo na magomvi nadani ya nyumba.

kusomeka naamini tunasomeka, labda pia inategemeana na competence ya mama ya kumjua mwenzake. wengi wa wanawake wanajua sana mume anataka nini na nini hataki lakini wanadanganya na mashoga zao. wanataka kulazimisha jmbo aliloshauriwa na shoga ake kwa mumewe na matokeo yake ndio kama hivyo........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…