Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
Kaizer nyie wenyewe mnadai ukimpeleka mmeo police basi ndoa hakuna tena ..unalionaje hili binamu?
nilitokea huko mie, nakwambia nilikuwa siulizi kitu kabisa kabisa, matokeo yake alikuja kunibadilikia kwamba mie cmjali, aje saa 6 cjui saa ngapi mie walaa....cku ya cku alikuwa wa kwanza kuomba samahani na kunieleza alifanya yote hayo coz kuna maneno mamake alimwambia na akanielezea kila kitu i was shocked...wanaumiaga sana wacpofatiliwa hawa...yupo kwenye mstari sasa hivi mana anajua mkewe kichwa maji...haaa ndoa ngumu bwana!

kweli hata mimi mke akinilaza polisi ndooa ndio inakua imeishia hapo!!!!!!! labda aje na yeye tulale wote humo selo ndio atakuwa amefanikiwa kuilinda isivunjike..................
FL1, nia yenu ni njema kabisa na dhamiri yenu ni safi na takatifu. tatizo la wengi wenu ni lugha tu. mnashindwa kujua maneno gani mtumie na kwa ukali kiasi gai mnapowasiliana na waume zenu hasa mnapohisi mmekwazwa. hapo tu dia. mkipamudu, mtapunguza haya matatizo yaletwayo na magomvi nadani ya nyumba.
kusomeka naamini tunasomeka, labda pia inategemeana na competence ya mama ya kumjua mwenzake. wengi wa wanawake wanajua sana mume anataka nini na nini hataki lakini wanadanganya na mashoga zao. wanataka kulazimisha jmbo aliloshauriwa na shoga ake kwa mumewe na matokeo yake ndio kama hivyo........
thanks AK kuna kipindi nilijaribu kuwa mkimya zaidi nikaambiwa kiburi
nikajaribu kuongea nikaambiwa mjuaji
ila thatha najitahidi kuwa vere nyuturo😉
kweli hata mimi mke akinilaza polisi ndooa ndio inakua imeishia hapo!!!!!!! labda aje na yeye tulale wote humo selo ndio atakuwa amefanikiwa kuilinda isivunjike..................
kweli hata mimi mke akinilaza polisi ndooa ndio inakua imeishia hapo!!!!!!! labda aje na yeye tulale wote humo selo ndio atakuwa amefanikiwa kuilinda isivunjike..................
nilitokea huko mie, nakwambia nilikuwa siulizi kitu kabisa kabisa, matokeo yake alikuja kunibadilikia kwamba mie cmjali, aje saa 6 cjui saa ngapi mie walaa....cku ya cku alikuwa wa kwanza kuomba samahani na kunieleza alifanya yote hayo coz kuna maneno mamake alimwambia na akanielezea kila kitu i was shocked...wanaumiaga sana wacpofatiliwa hawa...yupo kwenye mstari sasa hivi mana anajua mkewe kichwa maji...haaa ndoa ngumu bwana!
here you come my dear!! akupeleke yeye afu tena aje mlale huko selo, sasa si bora mngekaa home pamoja mkaanza mchakato wa kujisuluhisha
mmh jamani haya mambo ya mahusiano magumu
FL1 nisaidie hapo kwenye nyutro unakuwaje mpendwa maana na mie hizo bold nimezieksipiriensi sana tu
Sometime akina mama muwe mnakubali matokeo kama baba hataki uguse kilong longa chake si uache muendelee kufrahia ndoa jamani matatizo mengine akina mama huwa mnajitakia mzingatie mipaka yenu mliyo jiwekee. Ndoa nyingi zinavulugika kwa kufuata uzungu mapenzi ya Isidingo.
Ha ha ha mkuu hiyo nyekundu umenikumbusha mabali sana!! Uzungu bana kazi kwelikweli!Sometime akina mama muwe mnakubali matokeo kama baba hataki uguse kilong longa chake si uache muendelee kufrahia ndoa jamani matatizo mengine akina mama huwa mnajitakia mzingatie mipaka yenu mliyo jiwekee. Ndoa nyingi zinavulugika kwa kufuata uzungu mapenzi ya Isidingo.
FL1, nia yenu ni njema kabisa na dhamiri yenu ni safi na takatifu. tatizo la wengi wenu ni lugha tu. mnashindwa kujua maneno gani mtumie na kwa ukali kiasi gai mnapowasiliana na waume zenu hasa mnapohisi mmekwazwa. hapo tu dia. mkipamudu, mtapunguza haya matatizo yaletwayo na magomvi nadani ya nyumba.
kusomeka naamini tunasomeka, labda pia inategemeana na competence ya mama ya kumjua mwenzake. wengi wa wanawake wanajua sana mume anataka nini na nini hataki lakini wanadanganya na mashoga zao. wanataka kulazimisha jmbo aliloshauriwa na shoga ake kwa mumewe na matokeo yake ndio kama hivyo........
Twini nadhani for me hapo nikuwa kivyangu zaidi yani sijali nimepigiwa but mm sipigi,yani siulizi kitu akicheka ntacheka akinuna na mi ndo kabsaa,yani in short bendera ufuata upepo!thats me na kiburi nilichonacho to pple who do not respect my dignity
Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa na
- anamfata fata sana
- hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,
- hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa
hahahaaa wako alikuwa anakutest!!!!!!!! hongera lakini mlimudu kuvuka salama. sasa unaona?????????? , kama ungekuwa unampokea na kuuliza kachelewa wapi, angeamini kuwa unamjali lakin ungempokea na matusi na kashfa, angekudunda lazima. hekima inalipa sana wapendwa............
Ha ha ha mkuu hiyo nyekundu umenikumbusha mabali sana!! Uzungu bana kazi kwelikweli!