Oooh Gosh. kwa nini mnakuwa hivi jamani.....?

Mafundisho yako mazuri sana Jethro ila yanataka moyo. Mwenzangu uwe unanyamaza tu, akirudi usiku nyamaza, akija amelewa nyamaza, akilala nje nyamaza, na hata akikuletea UKIMWI nyamaza. Ndio ndoa ah!!
 

JAna ilikuwa tarehe ngapi? 15th siyo. Na ndio siku aliyopigwa baada ya kuuliza alikolala? Mh Valentine yao ilikuwaje? If you ask her
 
There is a difference between a goat and a goatie!
yes, between a dog and a pup!

Likewise, there is a difference between MARRYING and living with a woman!...while the later means "sharing the same roof with the woman!

Huyo jamaa si muoaji, ni mchukuaji, ameshapoteza sifa zote za kuwa mume mwema!

Frustrations ni mbaya sana jamani..labda hapa nchini tunakosa cauncellors sana, huyu jamaa alitakiwa aende akashauriwe na wataalamu, na wamsaidie ku'identify matatizo aliyonayo, na jinsi ya kuyasolve!!..huh!an animated human being!
 

Agreed Madam!

But - kila jambo lina wakati wake: Maendeleo ya Familia ni "LONG TERM PLAN" sio kila siku jioni baada ya kurejea nyumbani wimbo ni huo huo. Nyumba ya Kigamboni au Chanika au Bunju haiwezi kujengwa kwa mijadala ya kila siku ALSO school fees hailipwi kila mwezi NA PIA hizi simu sa mkononi sio issue ya kufanya familia isiendelee

leo ni Tarehe 1 ya March 2010 - Baada ya kazi, mwite Baba Kifagio na kama "anakula mchele" - aka - BIA mwambie mkutane Zero PUB (Tegeta) au pale Highway Park (Airport) au hata Billionaire Club (Msasani) mnunulie "mchele" wa kutosha halafu "mwaga" ma-plan yako:

- mwezi wa sita mwishoni : school fees ya Kifagio, Chandarua na Net
- mwezi wa tisa mwishoni : mabati ishirini ya banda la Buza
- mwezi wa kumi na mbili mwishoni : mabati 50 (au kodi ya nyumba)
- e.t.c (include na michangi ya harusi, kipaimara, ktchen party, e.t.c)
- Baada ya hapo KODI Bajaji mpaka Kisukuru pumzika kesho "kazini"

hilo zoezi lirudie baada ya wiki mbili halafu baada ya wiki sita (itakuwa takribani ni katikati ya mwezi wa nne 2010)

hapo unamjegea mume culture ya SAVING as well as RESPONSIBILITY = POSITIVE ATTITUDE ya ku-approach matwakwa ya maisha ya kila siku!

Hakutakuwa na kuchapa ngumi tena!

Mchana mwema
 

nimeipenda hii mj1 imenifanya nitafakari mambo mengi sana
 
very true PJ
 
Akili Kichwani niko neotral na ndoa yangu iko very Tambarareeeeeee..maisha saaaafi
ila kama alivyosema mama Nyamayao
..inabidi tujifunze kusoma nyakati..

Mhh, hongera sana. Mbona hujatuambia mume wako alisemaje ulipomkaribisha huyo mama aliyepokea kipigo?πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Isijekuwa unamzindua naye akafanya kweli!!

Udumu katika bwana FL1 ili haya uyaone tu kwa macho na kuyasikia katika masikio yako bali yasikuguse. Sometimes unaweza kujisemea tu kuwa, "mbombo ngafu"!!
 


luv, kwa hii thinking , basi mababu zetu walikuwa na maisha ya raha sana.

kulikuwa hakuna simu za mikononi wala internet

kulikuwa hakuna UKIMWI

Na walikuwa WANADUMISHA MILA kama kawaida.....dah...wake 2,3,4, nguvu yako tu Zuma style.

Ungependa kuwa sehemu za kizazi hiki? just curious though

(ngoja nisiseme sana hapa manake nipo under probation)
 


Hakuwepo lakini nimemwambia DC so haina shida
hapo kwenye puple umenichekesha mie
 
JAna ilikuwa tarehe ngapi? 15th siyo. Na ndio siku aliyopigwa baada ya kuuliza alikolala? Mh Valentine yao ilikuwaje? If you ask her

Ndo maana Gender Sensitive anaichukia sana Valentine ina matukio lol ...
 
[/COLOR]

Hakuwepo lakini nimemwambia DC so haina shida
hapo kwenye puple umenichekesha mie

Poa Mke wa Mkulu! Itabidi nichungulie tena library!!πŸ™„

Hiyo niliisikia toka kwa mshikaji wangu wa maeneo ya Lutengano kwa wanyampala!
 

Thanks Binamu hivi mwanaume huyu unaweza kumuomba akafanyiwe councelling atakubali kweli ,will try him my self ila namuogopa ogopa amekaa kama undertaker vile
 

Huweziamini Kaizer --- I WISH NINGEISHI KIPINDI KILE MAISHA YANGU YA NDOA.
 
Poa Mke wa Mkulu! Itabidi nichungulie tena library!!πŸ™„

Hiyo niliisikia toka kwa mshikaji wangu wa maeneo ya Lutengano kwa wanyampala!

Thanx usimchape makonde wife eeh
 
FL1, It is not about being Mkristo au dini ipi, hakuna dini isiyomhofu Mwenyezi Mungu. Kama watu wakiwa wanahofu ya Mwenyezi Mungu ni dhahiri kuwa wataheshimiana, watapendana, wataepuka kukwazana, n.k. Hata kama mtu ni Muislam, akitaka kuongeza mke lazima apate ridhaa kwa mkewe aliyenaye, hawezi tu kwenda kuanza kuoa bila kumhusisha mkewe kwani amekuwa amemkwaza na hiyo haitakiwi katika dini. Hata wapagani hawapigi wake zao kwa sababu ya kuulizwa umetoka wapi au eti kuwafukuza watoto usiku wa manane. Hata majirani wanahaki ya kumshitaki huyu jamaa kwa kuwasababishia usumbufu usiku kwa kelele zilizopigwa na mkewe na wanawe. Hii tabia si ya wanaume bali ni tabi ya wakatili. Wanaume wa kweli si wakatili ni waume wazuri na wababa wazuri wenye kuheshimu na kupenda nakuthamini familia zao. Thamani ya familia au mapenzi kwa familia hazionyeshwi kwa ugomvi na vichapo...Hata wakuria siku hizi wamebadilika wanawake hawapigwi tena sana ijapokuwa bado kuna rasharasha za hapo na pale!!!
Tunaiombea hiyo familia Amani na Neema ya Mungu inayokoayo ili iweze kubadilika na kuwa na hofu ya Mungu. Mwambie huyo mama amwamini Mungu na apige magoti na amwambie Mungu anachohitaji na Mungu atamjibu. Ikiwezekana afanye sala ya toba na ataona mabadiliko!!
 
inaonekana ugomve in wa mda mrefu
naamini hakumuuliza mumewe maswali haya siku moja then akaanzaz kupigwa
kwa kuwa umemkaribisha kwako kaa nae ila usimpe solution ya matatizo ila mpe altenatives then yeye aselekti the best maana wakielewana hawa waweza kuonekana mbaya.
ndoa zina mambo jamani!
 
Thanx usimchape makonde wife eeh


FL1, hachapwi mtu.

Ila kuna wakati hasira zinapanda unatamani uvae bukta lakini inabidi utumie ukomavu kuyamalizia kifuani. My signature tells what I mean. Every case is unique, inabidi ama upumue na kuushirikisha ubongo wako au ukurupuke na kutumia misuli tu. Ni ngumu kusema. Ikishindikana unalia machozi mtu mzima na kumwomba tu Mungu kuche salama. Sina njia rahis ya kuelezea. Niseme tu kuwa maisha ni matamu ila utamu wenyewe ni ngumu kuulezea. Kila mtu anajua wa kwake na bahati mbaya hatuwezi kushirikishana hata kama tunaabudu kwa Bishop mmoja (eg FL1 πŸ™„)!!
 

sasa kama mambo yenyewe ndo haya mie si bora niingie chama cha kina Kiranga basi mama ushauri!! unanitisha ujue!!! (ila mi ntafuata nyendo zako....u knw wat i mean hahaaaaaaaaaaa)
i cant wait to see you yaani dah!!

Bora sie tusiooa.

Kiranga wewe ni Bruda!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…