Oooh!! Sinta

Oooh!! Sinta

La haula, mie sikujuwa kama huyu Sinta ni Mwaarabu, ana nywele na rangi nzuri.
 
Nature karudiana naye na wanatengeneza movie inayokwenda kwa jina la SITAKI DEMU! Tunaisubiri kwa hamu!

tatizo letu ndo hilo, kila mtu akiwa muimbaji au mrembo ni muigizaji pia nachoka kabisa!
 
Aisee kumbe ndio maana mlio wa vilimbi ya refa wa mpira wa miguu ni tofauti sana na filimbi ya refa mpira wa rugby,acha nikapate lunch.
 
Mhhhh!!!!!???hhhh???!!!!hhhhh!!!!..................
 
25.jpg

Hivi huu mzigo Nature alikula kweli au alishika pembe tu..?? duh ni noma ndiyo maana alilia sana..."inanuma sana nikifikiria huwaga me nalia" unakumbuka huo wimbo
 
Si alikuwa mweusi huyu! Mbona rangi yake ya asili siyo yenyewe? Too much brown now!
 
Back
Top Bottom