babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Walimwengu walikwisha niambia kuwa demu wangu huyu hafai. Mimi nikawabishia nikawaona wao ndio hawafai. Hivi sasa ninajuta........staki demu.
wivu tu................!
Mwenye namba yake ya simu naomba anipatie,nina hamu kishenzi
Asavali umesema wewe Afrodenzi.Make up ukizidisha haipendezi..