duh mnaomsifia ni kweli inatoka moyoni?sintah hana uzuri wowote kinachoniboa ana force maisha makubwa na hana uwezo, anatukanwa sana kwenye blog yake anaringia hiyo masters yake ya "youtong" yaani anachefua sana pia ni snitch huyu demu balaa nakumbuka aliwahi kuajiriwa pale quality group enzi hizo namie nafanya pale kazi yake ilikuwa kusoma magazeti na newz zote about big boss manji huyu sinta akadhani manji atamzimika anajitahidi kujichekesha na mitego ghafla boss akapiga simu kwa HR akamwambia huyo sintah sitaki kumuona masaa mawili mbele duh she lost job!