Fiesta Mbeya tuliwapa supplementary sasa naona wanataka kuja kujaribu kuichomoa bt hawajausoma mchoro bora wasingeingia kwenye exam room coz hawachomoki hata waingie na madesa so 26th wanadisco
26TH, NOV!! USTAWI WA JAMII WITH NO APOLOGY!!
SOGEA USHILIKI KWENYE HISTORIA!!
haya mautumbo bora yapite tutulie
umedondoka toka juu ya mti eehh!! maana hujielewe!!! kweli usimwamshe alie lala!!haya mautumbo bora yapite tutulie
umedondoka toka juu ya mti eehh!! maana hujielewe!!! kweli usimwamshe alie lala!!
mitanzania ndivyo ilivyo!!!1yaani mnataka kujifanya hamjui clouds inawafanya nini wasanii na wananchi watanzania wapenda maendeleo kwa ujumla?acheni kujifanya hamjui machungu ya vijana wenzenu:embarassed2:!!!!kuna majitu humu yanajifanya mastaarabu sana,eti vinega ni matusi,sijui sugu hana ustaarabu,nk...ukweli upo pale pale,ni harakati na machungu yao mnayajua na heri wao wanajitoa muhanga kufa kwa ajili ya future artists,na tunawaunga mkono moja kwa moja....haki zao zimedhulumiwa saaana,heri watukane waelewe....maaa.f***ka!
Wewe ni mpiga ngoma wa Ng'wana Ituli NINI!!