FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
- #201
Ni vema kumwabudu Mungu ili kukwepa tamaa za Ibilisi kwani bila Mungu hata ukipata mademu woooooote hutoridhika!
Thanx Jacbest
be blessed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vema kumwabudu Mungu ili kukwepa tamaa za Ibilisi kwani bila Mungu hata ukipata mademu woooooote hutoridhika!
Sidhani kama NGULI akipata KISHAWISHI anampigia "My wife wake"... "Eti Wife i love u so much!" mara nyingi mimi ama jinsia yetu ya kiume tukiudhiwa huko kwenye..... ndo "tunakumbuka Home" Masanilo upo????😀😀😀
Isipokuwa mimi.Kwa hiyo jinsia yote ya kiume inaenda kwa bar maids au nyumba ndogo?
Inatisha na inatia huruma. Penda usipende wanawake ni chanzo. Mwambie mkeo siku moja mtumie staili ya kuchuma mchicha usikie majibu yake. Wanawake nao wabadilike, na waache tabia ya kusema si tumefanya jana, unataka kila siku, wengine hata mchana hawataki. Unadhani mimi nitafanya nini? Ni kwa bar maid tu. Tuombe Mungu atuondolee pepo hili la ngono.
Isipokuwa mimi.
Mi huwa naenda kwa ajili ya serengeti, valeur na hudumu murua za Eliza.
ha ha ha hommie nime do the needful....!!Isipokuwa mimi.
Mi huwa naenda kwa ajili ya serengeti, valeur na hudumu murua za Eliza.
Huo ndio ukweli. Kama si huduma murua za Eliza si ningejinywea zangu home?Binamu unajihami eeeh🙂🙂
Tatizo lako hommie unachelewa sana kutoka gesti.ha ha ha hommie nime do the needful....!!
Anakuwaje chanzo?..............hebu mtuorodheshee kila kitu hapa....SABABU YA KUMFUATA BAR-MAID ALIKUWA NAYO ila kwavile ameshapumvika hatuna wa kutuambia ukweli ila MKEWE PIA ATAKUWA NI CHANZO CHA YEYE KWENDA NJE.
ILA JAMANI TUKUMBUKE KUWA BAR-MAID HANA TOFAUTI NA WANAWAKE WENGINE WOTE. HIYO NI KAZI TU KAMA KAMA NYINGINE HAIBADILISHI UBINADAMU WAKE.
Ndoa vina mambo mengi ila MKIWA NA YESU KWELI KWELI SIO UBABAISHAJI NDOA YENU ITAKUWA NA AMANI FURAHA DAIMA.
ha ha ha hommie nilikua kwenye panel ya kutest kama vijana wanaweza kazi au wanaaply tu!! ha ha ha hommie acha tu ni mixer tu za kibluray na ki.......! lol!Tatizo lako hommie unachelewa sana kutoka gesti.
Ona sasa tumezimisi yuziful postiz zako mpaka kiu kinataka kuua.
Pale tunaposahau kwa nini msitukumbushe jamani sisi ni binadamu kama nyie