ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

Sidhani kama NGULI akipata KISHAWISHI anampigia "My wife wake"... "Eti Wife i love u so much!" mara nyingi mimi ama jinsia yetu ya kiume tukiudhiwa huko kwenye..... ndo "tunakumbuka Home" Masanilo upo????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kwa hiyo jinsia yote ya kiume inaenda kwa bar maids au nyumba ndogo?
 
Kwa hiyo jinsia yote ya kiume inaenda kwa bar maids au nyumba ndogo?
Isipokuwa mimi.

Mi huwa naenda kwa ajili ya serengeti, valeur na hudumu murua za Eliza.
 

hili nalo neno ...lakini si kweli labda unaomba katika njia sio nzuri kuhamasisha
 
Binamu unajihami eeehπŸ™‚πŸ™‚
Huo ndio ukweli. Kama si huduma murua za Eliza si ningejinywea zangu home?
Niliwahi kununua kakreti kamoja nikakaweka sebuleni eti nikiwa kwenye mkakati wa kutoenda bar. Nakumbuka sikuwahi kunywa zaidi ya tano.

Raha ya Bia ni kuinywea bar!
 
ha ha ha hommie nime do the needful....!!
Tatizo lako hommie unachelewa sana kutoka gesti.

Ona sasa tumezimisi yuziful postiz zako mpaka kiu kinataka kuua.
 
Duuh Jamani wanaume na hizi shamba nazo zisitu chukue sana mawazo saaaana mpaka kusahau home we kama unama wivu yako na huwezi miliki shamba nyingine kaaa kushoto acha watakao weza. yanini ukajitese na kumtesa mkeo, yani we una mke hiyo shamba ya nje ndio ukupeleke kwa maswahibu kama hayo haibu hii.
 
Anakuwaje chanzo?..............hebu mtuorodheshee kila kitu hapa....
 
Tatizo lako hommie unachelewa sana kutoka gesti.
Ona sasa tumezimisi yuziful postiz zako mpaka kiu kinataka kuua.
ha ha ha hommie nilikua kwenye panel ya kutest kama vijana wanaweza kazi au wanaaply tu!! ha ha ha hommie acha tu ni mixer tu za kibluray na ki.......! lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…