Ooops! "Nyumba ndogo yangu imepata mimba!" Ushauri

Ooops! "Nyumba ndogo yangu imepata mimba!" Ushauri

View attachment 14468

Wakulu ndo ujumbe nimeupata hapa hebu nishaurini nifanyeje in "COMPUTER TERMS" Only.

Nianze na viongozi wangu wakuu Asprin-ODM, St Roya Roy, King TEAMO, Mpwa FIDEL ACID, Kijana Finest, Bigirita na bila shaka upande wa kina binamu......hapa nifanyeje>

mawazo yangu nafikiria kubonyeza CTRL+ALT+DEL then TASK MANAGER kisha END TASK...

happy friday!:wink2:

...insert USB-drive yako uendelee ku-upload more files bana!
Tena ndio wakati wa kutumia 'ports' zote sasa, ushajimilikisha hiyo!

...insert USB-drive yako uendelee ku-upload more files bana!
Tena ndio wakati wa kutumia 'ports' zote sasa, ushajimilikisha hiyo!

hahaha kiongoz Mbu! "do not remind me of this update' bana! LOL
 
minimise that window ukitafakari the next move:decision::decision::decision:
 
Hommie hebu Restart hapo, halafu nambie matokeo.....niko nje hapo nasuburi!
 
Hommie hebu Restart hapo, halafu nambie matokeo.....niko nje hapo nasuburi!

Hahahaha umeona heading lakini mpwa??

icon3.png
Ooops! "Nyumba ndogo yangu imepata mimba!" Ushauri

Hahahaha watu tunaingia choo cha kike wengine cha kiume kha! :focus: :confused2:
 
Mpwa just click details kama alivyosema cousin Acid kama ni infii kwenye nyumba ya mwizi kaingia jambazi nafikiri uki search kwenye folders zitakuja options nyingi mimi naona ball possesion bado unaongoza 85% na upande wa infiii 25%

TF hii itakuwa on 110% basis 🙂

Mi nadhani hapa ni kuchomoa power cable tu, una solve!!!
 
Unplug power bana....halafu uki-restart select safe mode...

I agree, coz whatever u click there whether ni details au cancel lazima itafungua hiyo "file" or whatever it is,
and lazima tu itakuwa virus. So switch off ur computer-manually (kwenye CPU) au unplug, then restart after sometime - make sure u scan the whole computer before opening any more files.
 
I agree, coz whatever u click there whether ni details au cancel lazima itafungua hiyo "file" or whatever it is,
and lazima tu itakuwa virus. So switch of ur computer-manually (kwenye CPU) au unplug, then restart after sometime - make sure u scan the whole computer before opening any more files.

Ewaaa! Appraisal form inasomeka.... Umekubalika.... Njoo chukua kadi yako!
 
Si naweza kuHIDE kabisa folder langu lisionekane kwake kiongozi lol:behindsofa:
Mh... aisee kuna folders nyingine bana kiherehere sana, hukawii kukuta pop-ups aisee
 
kwenye userguide yako(katiba)haionyeshi kuwa utafanya nini ukipata hilo tatizo?unaweza kurefer pia
 
Back
Top Bottom