Yani hawa bora wamejengewa banda lao huku ..wangeachiwa wapuyange kila kona ya jf ingekua majanga
Kwanza nilijutia kuingia kuleHahaa mkuu Kenya talk ni jahu. Mimi mwanzo nikahisi labda kuna nyingine ya wakubwa niliyo ingia mimi ni ya watoto.
Hahaha umenikumbusha MashadaAcha kujidanganya Kenya nzima hamna forum inafikia JF. Ndo maana hubanduki humu ndani mwaka wa sita na utafika wa kumi umo humu ndani. Kinachowanyima raha ni Kuwa mmeshindwa ku-dominate humu ndani na siku mnafanikiwa JF itakufa kifo cha Mashada.
Mtu ana anzisha mada ana sema "Kesho nina enda kumanga demu msupuu" na kesho ikifika ana tuma picha za lodge halafu anaelezea alivyo fanya!! wakina MK254 na pimbi mzee wana kuja kumshangilia mwenzao kwenye comments "msee umefaidi, si unipe manamba zake na mm nikajibambe" [emoji19] [emoji13]Kwanza nilijutia kuingia kule
Namwaka sipajui full ujinga upumbavu ndio Mada zao
Mtu ana anzisha mada ana sema "Kesho nina enda kumanga demu msupuu" na kesho ikifika ana tuma picha za lodge halafu anaelezea alivyo fanya!! wakina MK254 na pimbi mzee wana kuja kumshangilia mwenzao kwenye comments "msee umefaidi, si unipe manamba zake na mm nikajibambe" [emoji19] [emoji13]
Sema machizi watatu wakenya wengi wamejua tz ni namba nyingine wamesha nyosha mikono mmebaki wakenya wanafiki kama 10 tu mnaleta vihoja hapa jf Ila watz tunashukuru kibaki na jubilee wanajua ukweli kuwa TZ KICK THERE ASSHehehe hiyo kweli, maana Wakenya ambao hupost humu kwa wastani ni watatu kwa siku lakini mnababaika utadhani KOT yote imehamia huku.
Hata MK254 amakili kuwa yeye pia aingii ktalk kumejaa usamaki @ utasikia wanasema mpekiti wakikosa hojaKwanza nilijutia kuingia kule
Namwaka sipajui full ujinga upumbavu ndio Mada zao
Hahaaa.. ufaidi mara ngapi wakati uliweka hadi comment yako kwa kuacha namba zako ukimwambia jamaa amshow huyo manzi na wewe uka jibambeHehehe! Hebu nipe link ya hiyo thread na mimi nikafaidi.
Hahaa.. eti mpe kiti! Imagine dealing na likes of mwasiti na colloh mwizi in large numbersHata MK254 amakili kuwa yeye pia aingii ktalk kumejaa usamaki @ utasikia wanasema mpekiti wakikosa hoja
Ha ha haaa teh tehGEZA unashindaga umeota Kenya usiku na mchana. Unataka tumgeuze Kenya awe msichana umuowe uende naye nyumbani ujitumbikize ndani yake usiku nzima? Mbona uko obsessed hivi?
Ukiwapa platform hawa jamaa halafu usi-moderate basi kinachofuata ni ukabila.Hahaha umenikumbusha Mashada
Da ilikuwa moto kidogo bwana
Kipindi hicho nilikuwa Mombasa
Ila kiukweli ilichochea Ukabila sana