Opah Clement aondoka Simba Queens, apata dili Uturuki

Opah Clement aondoka Simba Queens, apata dili Uturuki

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Opah Clement aliyekuwa mshambuliaji na nahodha wa Simba Queens ameondoka kwenda kuanza maisha mapya katika timu ya Wanawake ya Besiktas ya Uturuki.

Hadi sasa kwenye Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women's Premier League) mzunguko wa kwanza umemalizika Opah ndiye kinara wa ufungaji akiwa amepachika wavuni mabao 9.

FqmpL7zXoAA6ga8.jpg
 
Bora angebaki tu Bongo. Haogopi tetemeko la ardhi!! Lisije likarudi tetemeko lingine kubwa zaidi, halafu likamsomba na yeye.
 
Mfungaji bora wa timu anaondoka halafu wala haujasikia longo longo. Kila mtu amepata chake maisha yanaendelea.

Huu uzi ungeunganishwa na nyuzi zote za Fiesal. Ni ushauri msinirushie mawe [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Feisali anaondoka anaenda wapi Timu ipi imeenda ikakaa na Mwajiri wake kuomba huduma yake!?
 
Alikuwepo huko uhlghaibuni yakamshinda akarudi Simba sawa na Gaucho naona na yy amerudi sijui wanakutana na shida gani
 
Huyu atarudi kama alivyorudi yule gaucho aliye enda Morroco.

wachezaji wa simba sc hawawezi kudumu muda mrefu Ulaya.
 
Feitoto njoo uone huku sehemu sahihi za kwenda kuchezea.
Timu kesho ina mechi ngumu, lakini inamruhusu mchezaji tegemeo kuondoka
 
Back
Top Bottom