Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea KWELI, nimeona Leo KATAVI vijijini Mh Mbowe akihutubia kwenye jukwaa kama lile alilotumia Lisu la miti,Majukwaa yote yanayotumika hujengwa na wenyeji wetu kila tunapopita , Chopa au V8 haina uwezo wa kubeba Jukwaa lolote , tutaendelea kutumia majukwaa yanajengwa na wadau hadi utakapopatikana Ukombozi Kamili , kwanza ni heshima kwao pia kwa sisi kutumia vya kwao
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Looh, hii ☝️☝️☝️statement imenifanya nikukwoti kwa furaha na ujasiri..Tunarudia tena kwa mara nyingine kuonya kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KWENYE DUNIA HII AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
AmenLooh, hii [emoji3516][emoji3516][emoji3516]statement imenifanya nikukwoti kwa furaha na ujasiri..
Huu ni ukweli wa asili (natural truth) na uliotukuka kwelikweli..!!
Ni kweli shetani hajawahi kumshinda Mungu muumba..
Mungu ibariki CDM.
Hujui kuwa kutikisa maiti ni kupoteza muda? Haezi amka hata akitikiswa.Mnatikisa nchi mnashindwa kuitikisa CCM, hiyo haina tofauti na kutikisa sehemu za siri
Ukiona maiti inakutawala basi jua wewe ndio maitiHujui kuwa kutikisa maiti ni kupoteza muda? Haezi amka hata akitikiswa.
Mnatikisa nchi mnashindwa kuitikisa CCM, hiyo haina tofauti na kutikisa sehemu za siri
Chadema ishajifia, imebaki hadithi na jina.
Dola ndo inayoipa ccmmm kupumua Kwa mashine.Ukiona maiti inakutawala basi jua wewe ndio maiti
Gazeti la mwanancgi na Nipashe yana tumikaChadema ishajifia, imebaki hadithi na jina.
Ameen ameeniUmeongea KWELI, nimeona Leo KATAVI vijijini Mh Mbowe akihutubia kwenye jukwaa kama lile alilotumia Lisu la miti,
Kweli KAZI ya Ukombozi Si ya kitoto. Tunawaombea viongozi wa CDM Mungu awalinde.
KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi ni sasa. Na Tume ya Uchaguzi kamwe haitahodhi mchakato wa KATIBA mpya.
Itungwe SHERIA bungeni, mchakato uendelee na kukamilika kabla ya Uchaguzi wa MITAA 2024.
Amen