Oparesheni 255 yatikisa Nchi, Magazeti yaanza kuishambulia CHADEMA ili kuokoa CCM

tunajidang'anya mie ni CCM na sihami ng'o lakini Upinzani (hapa sizungumzii CDM) wakiondoa tofauti zao na kuwa kitu kimoja wakigundua kwamba CCM Inafanya mchezo wa divide and rule wakasimama kwa pamoja na kwa umoja CCM haitatoboa.
 
Umeongea KWELI, nimeona Leo KATAVI vijijini Mh Mbowe akihutubia kwenye jukwaa kama lile alilotumia Lisu la miti,

Kweli KAZI ya Ukombozi Si ya kitoto. Tunawaombea viongozi wa CDM Mungu awalinde.

KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi ni sasa. Na Tume ya Uchaguzi kamwe haitahodhi mchakato wa KATIBA mpya.

Itungwe SHERIA bungeni, mchakato uendelee na kukamilika kabla ya Uchaguzi wa MITAA 2024.

Amen
 
Tunarudia tena kwa mara nyingine kuonya kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KWENYE DUNIA HII AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU
Looh, hii ☝️☝️☝️statement imenifanya nikukwoti kwa furaha na ujasiri..

Huu ni ukweli wa asili (natural truth) na uliotukuka kwelikweli..!!

Ni kweli shetani hajawahi kumshinda Mungu muumba..
 
Mnatikisa nchi mnashindwa kuitikisa CCM, hiyo haina tofauti na kutikisa sehemu za siri
 
Ameen ameeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…