Oparesheni ||| vipi haiji?

Oparesheni ||| vipi haiji?

Huwa kila siku nawakumbusha humu, kupiga kinu cha nuclear Iran inabidi utumie bomber kama B2 ikapige na bunker buster, bunker buster ndio kombora limetengenezwa maalumu kupiga mahandaki ya kijeshi, sasa Iran sio tu wana mahandaki ya vinu vya nuclear, hayo mahandaki yapo chini kabisa ya mlima , huwezi kupiga kinu cha nuclear kipo chini ya mlima kwa kutumia kombora uchwara zinazobebwa na F35, na ili kusudi B2 ipige hilo eneo inabidi iende usawa wa hiko kinu, kitu ambacho hio B2 itapigwa tu... kingine bunker buster ya kupiga ku penetrate mlima, imalize iingie kusambaratisha concrete iliyo juu ya kinu cha nuclear si mchezo, hio bunker buster haipo.

Someni vitu mfuatilie, Iran ina vinu sehemu nyingi tofauti.
msidanganyane kwenye gahawa eti wamepiga kituo cha utafiti, vituo vya utafiti vipo chini ya ardhi, vimezungukwa na kila aina ya defenses systems pamoja na AAA, ndio maana myahudi kila mara anaua wanasayansi kwa kudhani ata stop projects zao.

Trump kwa Kiduku tu aliufyata alijitia kichaa, sasa atakuja kuanza kupambana kivita na Iran?, kule Iraq walipiga bases kipindi ni rais wa US, akatia mkwara atalipiza hadi kesho hakuwahi.

Iran ina uwezo wa kupiga bases za US zote hapo Middle East.
Okay umejitahidi kueleza kwa kuna, kudos. mm Sina maelezo mengi zaidi ya kukuambia kuwa Nukes za Maayatollah wa Iran are on notice na vinaondoka hivyo kabla ya Trump kuingia White House. I bookmark your posting
 
Watu wana vikwazo toka 1970s na wamefika hapo, wamepita maraisi wakorofi na wapenda vita kuliko Trump na walishindwa kuiangusha Iran...
 
Watu wana vikwazo toka 1970s na wamefika hapo, wamepita maraisi wakorofi na wapenda vita kuliko Trump na walishindwa kuiangusha Iran...
Lakini pia ukumbuke Biden ameisaidia sana iran hivi karibuni ndio maana wanekuwa na ubabe hivi karibuni
Shambulio la hivi karibuni kabla lilivujishwa kwanza lakini israel ilipiga.
Unaweza tupa assessment ya vitu vilivyopigwa
 
Hakuna cha kushangaza Israel kurusha missiles ama ndege kwenda kupiga Iran, hakuna air defenses zipo asilimia 100 uhakika kuzuia mashambulizi.

Lakini vita itakapoanza tambua tu pande zote wataumia na Israel itaumia zaidi..
 
Back
Top Bottom