Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Kabisa... Hata Ehud Barak alikuwa Kenya anawasubiri yale madege yarudi... Anasema kuwa yalipotua Uwanja wa Jomo Kenyatta alishangaa makomando na waliokolewa wakiwa na huzuni tofauti na alivyotarajia kuwa wangetua wakishangilia kwa shangwe... Alipowauliza kwanini hawana furaha ndipo wakampa taarifa ya kifo cha Yonatan Netanyahu...
The guy was a good commander, wanasema alikuwa rafiki wa kila mtu chini yake! Ndo maana walihuzunika kwa kifo chake!
 
Ni zaidi ya movie kaka! Salute kwako [HASHTAG]#The[/HASHTAG] Bold
 
nipo hapa nasubir mzigo mpya kuyoka kwa Kichwa.nakula zangu ujugu na asali lets go kichwa
 
Yeah Netanyahu alikuwepo ila ni mkubwa (kaka yake huyu Netanyahu Waziri Mkuu wa Sasa)

Jina lake alikuwa aitwa Yonatan Netanyahu... Yeye ndiye aliongoza 'assault team' ya makomando wa Sayeret Matkal walioingia Entebbe.

Nitaongelea kwa undani sehemh inayofuata..
Who killed Yoni Netanyahu? Official documents zinaonyesha aliuwawa n.a. askari wa Uganda. Ila ndugu zake ambao wote walikuwa commandos kwenye hiyo unit, ila hawakushiriki sababu ya policy ya kutoweka ndugu wengi kwenye operation moja wanadai aliuwawa na Col Muki Betser, who was his deputy in the mission?
 
Back
Top Bottom