Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Mkuu the bold uko vema ila kuna kamuvi kamoja hivi kanafanana kweli ...star ni dogo flani mdogo tu tena kali ingiliwa kinyume na maumbile na mkuu wao ...yani wanafundishawa roho ya ukatili...wanaishi maporini tu
Beast of no nation
 
Pia kuna shooting dogs nayo itafute
 
And "the say"
 
kweli mkuu.. yani nilikuwa nasoma uku akili inaniambia kuna movie inafanana na huu mkasa, na wewe umenifanyia uhakiki ulivyotaja jina
Itakua story waliitoa hapa..
Ila pia nimeona vinataka kufanana pia na story ya muvi ya Tears of the Sun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…