Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Pamoja sana mkuu The bold ,ila usisahau ile ishu tuliyofahamishana siku ukipata wasaa na mkuu Nifah

Ila hii kitu umetisha sana mkuu. Amina kamanda.
 
Unatumia ID gani huko fb na twitter??

pm pliz.
 
The bold unafanya weekend yangu kuwa nzuri nunapozisoma chambuzi zako
 
Operation BARRAS nishasoma sehemu ya tano kwenye blog

Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
 
Asante The Bold.Usiku huu wa SAA saba ndo napitia Simulizi hizi za kitaalamu.Usingizi kwishaaaaaa
 
Daaah. Barras kwenye blog nimeimaliza

Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…