Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hakuna operesheni iliyoendelea. TunasubiriWakuu hv baada ya operation ya barras, mkuu bold aliendelea na operation gani nyingine?
Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
Hata kule Kwny website yake?Bado hakuna operesheni iliyoendelea. Tunasubiri
Post sent using JamiiForums mobile app
NdioHata kule Kwny website yake?
Alafu mod wana roho mbaya sana ban ni menzi 4 au mitatu jf wa wanawivu sana wa kikeTulia wewe! Hakuna mtu yeyote anata kujitoa sadaka kwa kuweka link hapa. Hiyo sehemu ya nne kisia tu mahali ilipo utaipata.
Itafuata kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu mod wana roho mbaya sana ban ni menzi 4 au mitatu jf wa wanawivu sana wa kike
Post sent using JamiiForums mobile app
Inaendelea kulekule na imeisha.!Wakuu mimi mgeni hapa, hii story naifuatilia kitambo ila inanikanganya sana nabahatisha bahatisha tu na katika kubahatisha nimefanikiwa kusoma mpaka oparesheni Barass sehemu ya 5 kule kwenye website yake, je imeendelea humu au kule kule? Maana alipoishia inaonyesha bado inaendelea au mwendelezo wake bado?
nYaNi wA KaLe
Asante mkuu imeishia sehemu ya ngapi? NikaisakeInaendelea kulekule na imeisha.!
Post sent using JamiiForums mobile app
Baada ya hiyo ya tano nadhani imeandikwa Finale...!Asante mkuu imeishia sehemu ya ngapi? Nikaisake
nYaNi wA KaLe
mi niliingia blog ya the bold lakini sikuona sehemu ya nneDaaah. Barras kwenye blog nimeimaliza
Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
Our people,
Asanteni sana kwa ushirikiano mliouonesha jana kuhusiana na suala hili la ban aliyopigwa The bold.
Was epic! Sikuwahi kufikiri kama watu mnatuelewa na kutupenda namna hii. Mliivamia PM na WhatsApp kiasi nilichoka hadi nikashindwa kuaga usiku wa jana kama nilivyoahidi.
Again,nawashukuru nyote mliotutafuta kutupa moyo,nawashukuru nyote mlioonesha kuguswa na hili.
Jana nimetafakari sana utetezi waliouleta JF. Halafu baada ya utetezi wakaufunga uzi,wakaufungua,wakaufunga tena na kufuta comments nyingi sana,sawa.
Ninachoweza kusema ban hii imetolewa kwa 'mihemuko'! Haiingii akilini 'kosa' (kama wanavyosema wao) la kuweka link lipelekee mtu kupigwa ban ya miezi minne kasoro!
From 2nd July to 18th October!
Maana kama kosa ndio hilo kulikuwa na haja gani ya kuufunga uzi aliokuwa akihojiwa?
Huu si ndio udikteta tunaoupigia kelele humu?
Huwezi ukampiga mtu ban kwa 'kosa' la kuweka link na ufunge uzi aliokuwa akihojiwa halafu useme ukweli unapotoshwa!
Jana nilitoa ahadi,na daima husimamia kile ninachokiahidi. (Nina msimamo mkali kuliko Hayati Gaddafi lol)
Naungana na mwenzangu ktk ban yake ya miezi minne.
Kubaki kwangu mimi hapa ni kuunga mkono udhalimu aliofanyiwa.
Huu ni ujumbe wangu wa mwisho hadi hapo atakapofunguliwa Bold,in fact hakuna atakayebaki huku milele ila maandiko yetu.
Na hata maandiko yetu yakifutwa humu naamini hayatoweza kufutwa mioyoni mwenu.
#TUONANEOCTOBER18#
Nifah
Yeyote atakayehitaji kuwasiliana nasi atutafute kupitia namba hizi 0718 096 811.
Kwaherini [emoji4] [emoji136]