Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Wakuu hv baada ya operation ya barras, mkuu bold aliendelea na operation gani nyingine?

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu hv baada ya operation ya barras, mkuu bold aliendelea na operation gani nyingine?

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
Bado hakuna operesheni iliyoendelea. Tunasubiri

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tulia wewe! Hakuna mtu yeyote anata kujitoa sadaka kwa kuweka link hapa. Hiyo sehemu ya nne kisia tu mahali ilipo utaipata.
Alafu mod wana roho mbaya sana ban ni menzi 4 au mitatu jf wa wanawivu sana wa kike

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mimi mgeni hapa, hii story naifuatilia kitambo ila inanikanganya sana nabahatisha bahatisha tu na katika kubahatisha nimefanikiwa kusoma mpaka oparesheni Barass sehemu ya 5 kule kwenye website yake, je imeendelea humu au kule kule? Maana alipoishia inaonyesha bado inaendelea au mwendelezo wake bado?

nYaNi wA KaLe
 
Inaendelea kulekule na imeisha.!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dah!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…