donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Hivi alikosea nn mkuuHawa Admn wetu wa JF wamufungulie@the bold kama ni makosa Itakuwa ameyatambua na amejifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu ya nne ipo mkuu tena ilitoka kitambo tu!mi niliingia blog ya the bold lakini sikuona sehemu ya nne
Bila shaka Bashite atakuwa anajua alikompeleka!!
Hadi mwezi ujao nadhaniHuyu jamaa kapigwa Bann ya milele au????????
Nitajie jina la blog ya the bold
Hadi anuani ya blog wameiban ukikopi na kupaste inakuja nyota nyota webpage haipatikani