Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Mkuu hivi vitu adimu sana thankx, kuna tetesi walisema ilikuwa 90 min at entebbe, wewe umesema walitumia dk 53 tu.
Pia tetesi zinasema Yonayan alirudi kumwokoa mateka mama mmoja ambaye alisahaulika ndipo akapigwa risasi na yule askari aliyekuwa kwenye tower. Mtu akisahaulika kwenye operation na muda umeshaisha ushauri ni kuondoka, Netanyahu aliamua kurudi kumchukua ndipo mauti ikamkuta. Mkuu upo vizuri mno.
 
Huyu Kiongozi The Bold Bado Hajarejea Hewani Tu Hadi Leo Hii
 
Huyu Kiongozi The Bold Bado Hajarejea Hewani Tu Hadi Leo Hii
Mkuu Bold bado hajarejea cheki last seen yake utaona mara ya mwisho kuonekana ilikuwa Jul2, 2017. Hivi atakuwa amegoma kabisa kurudi?
 
daaa kiukweli story nime ipenda mno.., pongezi kwako mkuu
 
Website yako plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…