Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Kaka, naisubiri awamu ya pili ya toleo lako, hata kama sina bando lazima nikope tu halafu ile ya jaza ujazwe tutalipana pole pole.Yeah... Alafu kitengo cha weledi wa kijeshi cha Delta Force kinafanana kabisa kimajukumu na kitengo cha Sayeret Matkal ya Israel waliotekeleza hii Oparesheni..