Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Nadhani JF siyo ya mtu kuhesabu makala zake, bali ni sehemu ya watu kuelimishana. Iwapo siku hizi kila mtu ana makala yake basi samahani sana. Nilijua kuwa sehemu hii mtu ataanzisha thread halafu watu wataichangia thread hiyo kwa namna yoyote ile. Kwa hiyo nilipounganisha video zile nilidhani kuwa nilikuwa nachangia mada, na wala sikujua kuwa nilikuwa naingilia makala ya mtu, na kuwa jukumu langu hapa lilikuwa ni kumsifu mtoa mada tu kwa vile nilikubaliana na mada yake.
Mkuu nimesoma comment yako ya kwanza na response yako kwa mawe unayorushiwa ulikuwa sahihi problem is kila unachokiandika hapa usitegemee kuwa kila mtu ataelewa ulimaanisha nini ...kwa upande wangu uko sahihi
You can't explain to everyone Mkuu
"be responsible for what you wrote not how are thee going to understand it"
 
Nadhani JF siyo ya mtu kuhesabu makala zake, bali ni sehemu ya watu kuelimishana. Iwapo siku hizi kila mtu ana makala yake basi samahani sana. Nilijua kuwa sehemu hii mtu ataanzisha thread halafu watu wataichangia thread hiyo kwa namna yoyote ile. Kwa hiyo nilipounganisha video zile nilidhani kuwa nilikuwa nachangia mada, na wala sikujua kuwa nilikuwa naingilia makala ya mtu, na kuwa jukumu langu hapa lilikuwa ni kumsifu mtoa mada tu kwa vile nilikubaliana na mada yake.
Ahsanteh mzee jumatatu njemah.Samahani kama nimekukwaza,kazi njema
 
Raia wamekumaind kupitia hii koment yako hapa,kusema hii thread haina jipya aseee hizi ni dharau tena mtoa post ni mstaarabu kweli,jifunze adabu

Kwa umri uliotaja na comment ulotoa ni vitu viwili tofauti ndo nyie wazee wakoloni msotakia nchini,kijana kajitahidi kwa uwezo wake

Wabongo mnaonea wivu hadi comment za kumsifia mtu daah.Mzee kwa hili umetukwanza wengi aseee
Adabu yangu ni kubwa sana kuliko wewe uliyeandika hivi!
 
Sema ulikosea sanah uliposema huu uzi hauna jipya la kujadili,umesahau humu kila uchwao kuna member wapya wanajiunga na hiyo post yako hawakuiona,

kwa kifupi nikutakie jumatatu njemah
 
Tatizo lako ni kutaka uonekane mjuaji. Unadhani wote humu ndio kwanza wanasoma kisa hiki?

Hebu pitia uchambuzi wako na huu wa the Bold utajua kwanini kila ukiandika unakumbana na kejeli
Sihitaji kuonekana mjuaji JF kwani hiyo hainisaidii chochote katika maisha yangu ya kila siku. Nimeshachangia mada nyingi sana hapa JF kwa zaidi ya miaka kumi na wala sijawahi kudai credit yoyote wala kumtupia matusi mtu yeyote ambaye hakukubaliana nami.
 
Sema ulikosea sanah uliposema huu uzi hauna jipya la kujadili,umesahau humu kila uchwao kuna member wapya wanajiunga na hiyo post yako hawakuiona,

kwa kifupi nikutakie jumatatu njemah
Sikuona jipya la kuchangia, huo ni ukweli- lakini sikusema kuwa watu wasisome. Lakini yote hayo yasingekuja iwapo mtu asingenibeza kuwa eti "basi na wewe andika..."

Wakati mada inaendelea na unaipenda basi ifuatilie kwa makini; acha tabia ya kutoa matusi kwa watu wa pembeni kupitia thread hiyo hiyo kwa sababu unaweza kudreail mada yote.
 
Sikuona jipya la kuchangia, huo ni ukweli- lakini sikusema kuwa watu wasisome. Lakini yote hayo yasingekuja iwapo mtu asingenibeza kuwa eti "basi na wewe andika..."
sasa si ungekausha kama una busara kwanini utumie kosa la mtu mmoja kukejeli kazi ya mwenzako
 
.... huenda hiyo feeling ndiyo inayosababisha mambo haya yote... ni feeling mbovu kwa kizazi kuamini kuwa asiyekusifu basi anakuonea wivu!!! Usifanye jambo kusudi watu wakusifie na wale wasokusifia watakuwa wanakuonea wivu.
wacha ushoga mzee!
 
Mimi sijasema kuwa alichoandika ni uwongo, na hata katika post yangu kuu nilikuwa nasapoti stori kwa kuweka link za video zinazohusiana na tukio hilo. Akaja mtu mmoja na lugha ya kejeli, ndipo nikatoa jibu hilo ulilokwoti wewe. Wakati wa hiyo Operation Entebbe mimi nilikuwa mwanafunzi wa form three (ya zamani); wakati huo tulikuwa tukisoma sana vitabu vya James Hadley Chase na Nick Carter. Baada ya tukio hilo, kilitoka kitabu cha 90 Minutes at Entebbe kilichoandikwa na William Stevenson, kikiwa kinauzwa nadhani shilingi nane au kumi na mbili (kulikuwa na tofauti ya shilingi mbili kutoka shilingi kumi). Kitabu hicho kilikuwa na picha kamili ya tukio lote toka mwanzo hadi mwisho; nilikisoma chote zaidi ya mara mbili, na inaonekana kilisababisha tukio jingine ambalo huenda watu wengi hawalijui la Operation Mogadishu ambapo ndege ya Lufthansa ilikuwa imetekwa na magaidi mwaka mmoja baadaye huko Mogadishu, nayo ikakombolewa kwa nguvu kama ile ya Entebbe. Kwa hiyo ninaijua operation hiyo sawasawa na wala sikuwa nategemea kujifunza lolote katika thread hii, na wala sikuandika lolote kuzuia wengine wasiisome. Imenishangaza sana kwa kuweka hizo video nikatupiwa matusi ya kipumbavu namna ile.

Ninakijua kizazi hiki na huenda inabidi admin awe anaonyesha kuwa thread hii ni ya kizazi hiki tu, kusudi wengine tulio nje ya kizazi hiki tusiiguse!
Ww una wivu mwenzako kaangalia hizo documentary na kusoma vitabu kisha kaja na uchambuzi wake kwa lugha rahisi ili waelewe watu wengi badala yake ww unaanza kusema oooh kakopi na kupesti utadhani hivyo vitabu na documentaries umetengeneza ww acha majungu nyinyi ndio wale watu kazi yenu kukatisha watu tamaa
 
Wivu wa nini? kuhusu makala za JF? You must be kidding!!! Come on! Kwanza hapa JF siku hizi mimi sipost sana.
 
Haya Basi yameisha wakuu ...tunapoona new notification kwenye hii thread tunajua mzee wa kazi kashapost mwendelezo
 
Asanteni kwa stories zakuvuta mda wa sehemu ya nne ifike
 
Mbona #3 sijaiona?? Inaandika Bofya hapa kupata #3 Nikibofya inanipa tena #1 na #2!!
 
Mimi sijasema kuwa alichoandika ni uwongo, na hata katika post yangu kuu nilikuwa nasapoti stori kwa kuweka link za video zinazohusiana na tukio hilo. Akaja mtu mmoja na lugha ya kejeli, ndipo nikatoa jibu hilo ulilokwoti wewe. Wakati wa hiyo Operation Entebbe mimi nilikuwa mwanafunzi wa form three (ya zamani); wakati huo tulikuwa tukisoma sana vitabu vya James Hadley Chase na Nick Carter. Baada ya tukio hilo, kilitoka kitabu cha 90 Minutes at Entebbe kilichoandikwa na William Stevenson, kikiwa kinauzwa nadhani shilingi nane au kumi na mbili (kulikuwa na tofauti ya shilingi mbili kutoka shilingi kumi). Kitabu hicho kilikuwa na picha kamili ya tukio lote toka mwanzo hadi mwisho; nilikisoma chote zaidi ya mara mbili, na inaonekana kilisababisha tukio jingine ambalo huenda watu wengi hawalijui la Operation Mogadishu ambapo ndege ya Lufthansa ilikuwa imetekwa na magaidi mwaka mmoja baadaye huko Mogadishu, nayo ikakombolewa kwa nguvu kama ile ya Entebbe. Kwa hiyo ninaijua operation hiyo sawasawa na wala sikuwa nategemea kujifunza lolote katika thread hii, na wala sikuandika lolote kuzuia wengine wasiisome. Imenishangaza sana kwa kuweka hizo video nikatupiwa matusi ya kipumbavu namna ile.

Ninakijua kizazi hiki na huenda inabidi admin awe anaonyesha kuwa thread hii ni ya kizazi hiki tu, kusudi wengine tulio nje ya kizazi hiki tusiiguse!

Dah! Shikamoo baba! Umekula chumvi kwa kweli,
 
Back
Top Bottom