middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,308
- 1,690
Nice one joh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msenge sana we mbwaHasa mkuu unatuachaje njiani ungemalizia tu story
Pamoja sana kiongozi..Nice one joh
Pamoja sana kiongozi..
Hiyo operation ya wamarekani.kwenye ubalozi wa iran naona kuna.movie yake inatoka soon this year. Ntaichek nipate mwangaza ...nimesahau jina kidogo.Pamoja sana kiongozi..
Una kumbukumbu kinyama yani ...The bold nna swali; ulisema kuna mama alijifanya anaumwa mimba imetoka akaachiwa, ukasema hilo tukio litakuja kuwasaidia baadae
liliwasaidia kwa namna gani?
Huyu ni muha.wa kigomaMimi sijasema kuwa alichoandika ni uwongo, na hata katika post yangu kuu nilikuwa nasapoti stori kwa kuweka link za video zinazohusiana na tukio hilo. Akaja mtu mmoja na lugha ya kejeli, ndipo nikatoa jibu hilo ulilokwoti wewe. Wakati wa hiyo Operation Entebbe mimi nilikuwa mwanafunzi wa form three (ya zamani); wakati huo tulikuwa tukisoma sana vitabu vya James Hadley Chase na Nick Carter. Baada ya tukio hilo, kilitoka kitabu cha 90 Minutes at Entebbe kilichoandikwa na William Stevenson, kikiwa kinauzwa nadhani shilingi nane au kumi na mbili (kulikuwa na tofauti ya shilingi mbili kutoka shilingi kumi). Kitabu hicho kilikuwa na picha kamili ya tukio lote toka mwanzo hadi mwisho; nilikisoma chote zaidi ya mara mbili, na inaonekana kilisababisha tukio jingine ambalo huenda watu wengi hawalijui la Operation Mogadishu ambapo ndege ya Lufthansa ilikuwa imetekwa na magaidi mwaka mmoja baadaye huko Mogadishu, nayo ikakombolewa kwa nguvu kama ile ya Entebbe. Kwa hiyo ninaijua operation hiyo sawasawa na wala sikuwa nategemea kujifunza lolote katika thread hii, na wala sikuandika lolote kuzuia wengine wasiisome. Imenishangaza sana kwa kuweka hizo video nikatupiwa matusi ya kipumbavu namna ile.
Ninakijua kizazi hiki na huenda inabidi admin awe anaonyesha kuwa thread hii ni ya kizazi hiki tu, kusudi wengine tulio nje ya kizazi hiki tusiiguse!
MOSSAD walipata info kutoka kwa huyo mama baada ya kuachiwaUna kumbukumbu kinyama yani ...
[emoji23]Una kumbukumbu kinyama yani ...
Hasa mkuu unatuachaje njiani ungemalizia tu story