Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,139
unaendeleza mfungo saba? Pole kwa ufuasi wako wa kufa kufaanaHahahaaaaaa Mkuu mbona Unaanza Kudhihirisha yalojificha Nyuma yako
Kwa heshima Tu Tuishie hapa
Karibu Tule Daku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaendeleza mfungo saba? Pole kwa ufuasi wako wa kufa kufaanaHahahaaaaaa Mkuu mbona Unaanza Kudhihirisha yalojificha Nyuma yako
Kwa heshima Tu Tuishie hapa
Karibu Tule Daku
Kwahiyo mkuu wewe unaijua sababu nyingine tofauti na waliyoitoa JF kwake The bold walimpiga ban?unaendeleza mfungo saba? Pole kwa ufuasi wako wa kufa kufaana
KISEBUSEBU NA KIROHO PAPO. Inawawia vigumu kusema kuikosa JF kwenu ni kama kuugua . Malalamiko mengi kama vile mlizaliwa na JF! Waungwana wakipigwa ban hawalalamiki, wanarejea kimya kimya. Povu jingi utadhani JF ilianzishwa kwa ajili yenu bwana. Anyway... Enjoy your banOur people,
Asanteni sana kwa ushirikiano mliouonesha jana kuhusiana na suala hili la ban aliyopigwa The bold.
Was epic! Sikuwahi kufikiri kama watu mnatuelewa na kutupenda namna hii. Mliivamia PM na WhatsApp kiasi nilichoka hadi nikashindwa kuaga usiku wa jana kama nilivyoahidi.
Again,nawashukuru nyote mliotutafuta kutupa moyo,nawashukuru nyote mlioonesha kuguswa na hili.
Jana nimetafakari sana utetezi waliouleta JF. Halafu baada ya utetezi wakaufunga uzi,wakaufungua,wakaufunga tena na kufuta comments nyingi sana,sawa.
Ninachoweza kusema ban hii imetolewa kwa 'mihemuko'! Haiingii akilini 'kosa' (kama wanavyosema wao) la kuweka link lipelekee mtu kupigwa ban ya miezi minne kasoro!
From 2nd July to 18th October!
Maana kama kosa ndio hilo kulikuwa na haja gani ya kuufunga uzi aliokuwa akihojiwa?
Huu si ndio udikteta tunaoupigia kelele humu?
Huwezi ukampiga mtu ban kwa 'kosa' la kuweka link na ufunge uzi aliokuwa akihojiwa halafu useme ukweli unapotoshwa!
Jana nilitoa ahadi,na daima husimamia kile ninachokiahidi. (Nina msimamo mkali kuliko Hayati Gaddafi lol)
Naungana na mwenzangu ktk ban yake ya miezi minne.
Kubaki kwangu mimi hapa ni kuunga mkono udhalimu aliofanyiwa.
Huu ni ujumbe wangu wa mwisho hadi hapo atakapofunguliwa Bold,in fact hakuna atakayebaki huku milele ila maandiko yetu.
Na hata maandiko yetu yakifutwa humu naamini hayatoweza kufutwa mioyoni mwenu.
#TUONANEOCTOBER18#
Nifah
Yeyote atakayehitaji kuwasiliana nasi atutafute kupitia namba hizi 0718 096 811.
Kwaherini [emoji4] [emoji136]
Kama umeamua basi nakuunga mkonoOur people,

Sawa ila sisi ngozi nyeusi tuna matatzo sana yani najiuliza hivi JF ndio wangekuwa FACEBOOK si ndio ingekuwa balaa maana uongozi wa JF ni wakidiktetaOur people,
Asanteni sana kwa ushirikiano mliouonesha jana kuhusiana na suala hili la ban aliyopigwa The bold.
Was epic! Sikuwahi kufikiri kama watu mnatuelewa na kutupenda namna hii. Mliivamia PM na WhatsApp kiasi nilichoka hadi nikashindwa kuaga usiku wa jana kama nilivyoahidi.
Again,nawashukuru nyote mliotutafuta kutupa moyo,nawashukuru nyote mlioonesha kuguswa na hili.
Jana nimetafakari sana utetezi waliouleta JF. Halafu baada ya utetezi wakaufunga uzi,wakaufungua,wakaufunga tena na kufuta comments nyingi sana,sawa.
Ninachoweza kusema ban hii imetolewa kwa 'mihemuko'! Haiingii akilini 'kosa' (kama wanavyosema wao) la kuweka link lipelekee mtu kupigwa ban ya miezi minne kasoro!
From 2nd July to 18th October!
Maana kama kosa ndio hilo kulikuwa na haja gani ya kuufunga uzi aliokuwa akihojiwa?
Huu si ndio udikteta tunaoupigia kelele humu?
Huwezi ukampiga mtu ban kwa 'kosa' la kuweka link na ufunge uzi aliokuwa akihojiwa halafu useme ukweli unapotoshwa!
Jana nilitoa ahadi,na daima husimamia kile ninachokiahidi. (Nina msimamo mkali kuliko Hayati Gaddafi lol)
Naungana na mwenzangu ktk ban yake ya miezi minne.
Kubaki kwangu mimi hapa ni kuunga mkono udhalimu aliofanyiwa.
Huu ni ujumbe wangu wa mwisho hadi hapo atakapofunguliwa Bold,in fact hakuna atakayebaki huku milele ila maandiko yetu.
Na hata maandiko yetu yakifutwa humu naamini hayatoweza kufutwa mioyoni mwenu.
#TUONANEOCTOBER18#
Nifah
Yeyote atakayehitaji kuwasiliana nasi atutafute kupitia namba hizi 0718 096 811.
Kwaherini [emoji4] [emoji136]
Acheni hulka za kitumwa. Kama ni madikteta achaneni nao tu wabaki na sheria zao, kwa nini kuendeshwa kidikteta? Hakika utumwa hautaisha kwa staili ya watu hawaSawa ila sisi ngozi nyeusi tuna matatzo sana yani najiuliza hivi JF ndio wangekuwa FACEBOOK si ndio ingekuwa balaa maana uongozi wa JF ni wakidikteta
Povu la nn mkuu ...wana aga kwa sababu wamepata support ya nguvu kutoka kwa wadau wengi ..KISEBUSEBU NA KIROHO PAPO. Inawawia vigumu kusema kuikosa JF kwenu ni kama kuugua . Malalamiko mengi kama vile mlizaliwa na JF! Waungwana wakipigwa ban hawalalamiki, wanarejea kimya kimya. Povu jingi utadhani JF ilianzishwa kwa ajili yenu bwana. Anyway... Enjoy your ban
Wacha wasepe. kama vipi sepeni nao mnaopenda kutafuniwaPovu la nn mkuu ...wana aga kwa sababu wamepata support ya nguvu kutoka kwa wadau wengi .....acha zako ndo nyie huwa mnaliwa ndogo
Aya mkuu pamoja sanaWacha wasepe. kama vipi sepeni nao mnaopenda kutafuniwa
Eti wagawaneKama kuna ban imepita nawashauri The bold na jF wayamalize tho hapa ni ishu ya maslahi coz Jf wanaamin hawajaja kuuza sura Mjini,Hizi stori wanaona the bold katumia kama kupiga hela hasa wasap kule tho nahis wangekua wanagawana kiasi flan maisha yanaenda.Ni hayo tu mana Jf wamekomaa sana mpaka kufika hapa Programming na mambo ya code sio mchezo.
balaa kama zanzibar yenyewe, nasubiri mwendelezo sehemu ya 4sierra leone nchi ndogo kama zanzibar ila ilo balaa lake
Mkuu ipo hewan kwenye web yake...balaa kama zanzibar yenyewe, nasubiri mwendelezo sehemu ya 4
Mkuu akiweka ya tano tupeane update hapahapa Cc NiffahMkuu ipo hewan kwenye web yake...
Mkuu ungemnyamazia tuu. Huyu jamaa sielewi anataka nini.Povu la nn mkuu ...wana aga kwa sababu wamepata support ya nguvu kutoka kwa wadau wengi ..